shabani.masikuzi

01/06/2026

King of the Jungle kawazuia watu wasiendelee na safari yao na wakarudi walikotoka, kagoma kabisa kuwapisha. Mwamba huyo akitamba kwenye maeneo yake.

The Lion King
Hakuna Matata

30/05/2026

Maisha ya Porini hayo

30/05/2026

Baada ya fainali ya Arsenal na PSG kuisha, wacha turudi kidogo na stori zetu za maisha ya Wanyama huko Porini

26/05/2026

Wachezaji na Kocha wa Deportivo La Coruna wakishangilia baada yakupata ushindi nakuweza kurudi La Liga nchini Hispania, baada ya misimu kadhaa kucheza Segunda ligi ya chini ya La Liga

07/05/2026

Heute waren wir in der Klasse um Übung zu machen und verschiedene Idee auszutauschen daher haben wir viele Dinge von verschiedene Ecken diskutiert

05/05/2026

Pambano la Nguvu Moja, Simba wakipambana na Chatu hapo

05/05/2026

Simba wakipambana na Chatu baada yakumkamata mtoto wa Simba

04/05/2026

Wamekutana Wababe wa Porini

27/04/2026

Mashine kubwa likichanja Milima kutoka Kigoma kuenda Dar

Address

Arusha

Telephone

+255656083192

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when shabani.masikuzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share