Starz Jewerly & Accessories

Starz Jewerly & Accessories Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Starz Jewerly & Accessories, Shopping & retail, Arusha.

OFA OFA OFA. Necklace zimeshuka bei kutoka 10,000 hadi 7,000 tu 🤩🤩🤩. Hii inaitwa safisha store. Cheni hizi hazipauki kab...
24/04/2024

OFA OFA OFA. Necklace zimeshuka bei kutoka 10,000 hadi 7,000 tu 🤩🤩🤩.

Hii inaitwa safisha store. Cheni hizi hazipauki kabisa hata ukiogea (Stainless Steel), na haziwashi. Tusikubali kupitwa na OFA hii.

Nicheki WhatsApp 0654 411 689 . Napatikana Kaloleni Arusha mitaa ya Condo Hotel.

Karibuni sana.

OFA OFA OFA. Necklace zimeshuka bei kutoka 10,000 hadi 7,000 tu. Hii inaitwa safisha store. Cheni hizi hazipauki kabisa ...
24/04/2024

OFA OFA OFA. Necklace zimeshuka bei kutoka 10,000 hadi 7,000 tu.

Hii inaitwa safisha store. Cheni hizi hazipauki kabisa hata ukiogea (Stainless Steel), na haziwashi. Tusikubali kupitwa na OFA hii.

Nicheki WhatsApp 0654 411 689 . Napatikana Kaloleni Arusha mitaa ya Condo Hotel.

Karibuni sana.

24/04/2024

OFA OFA OFA. Kila kitu in our store kipo kwenye punguzo kubwa la bei.

Necklaces 7,000
Bracelets 7,000
Hereni 5,000

Beauties...!!! Rings just for you 😋😋😋 for all occasions.Kila moja Tsh 5,000 tu. Tunapatikana Arusha mjini. Delivery ipo ...
26/02/2024

Beauties...!!! Rings just for you 😋😋😋 for all occasions.

Kila moja Tsh 5,000 tu. Tunapatikana Arusha mjini. Delivery ipo kwa garama ya mteja.

Karibuni sana!

Clover necklaces available 🔥🔥🔥.Bei ni shillingi 10,000 tu. Njoo nikuuzie jewelry nzuri hazipauki wala kuwasha. Ubora gua...
29/01/2024

Clover necklaces available 🔥🔥🔥.

Bei ni shillingi 10,000 tu. Njoo nikuuzie jewelry nzuri hazipauki wala kuwasha. Ubora guaranteed.

Nicheki DM au WhatsApp +255 654 411 688.

Karibuni sana

Hi Beauties !!!Tuna hereni nzuri, unique na classy za kubana. Hizi huzipati kokote ni Starz Jewelry tu. Bei rahisi kabis...
18/01/2024

Hi Beauties !!!

Tuna hereni nzuri, unique na classy za kubana. Hizi huzipati kokote ni Starz Jewelry tu.

Bei rahisi kabisa Tsh 7,000 unapata pair yako na wewe ukaringe.

Tucheki DM au WhatsApp number +255 654 411 689 kuweka oda yako. Tunapatikana Arusha mjini na pia tunadeliver kokote Tanzania kwa uaminifu mkubwa.

Karibuni sana wateja wangu!

Hi Beauties !!!Karibuni necklaces nzuri sana sana sana. Kitu stainless steel na haiwashi. Mwaka huu usikose kuweka fashi...
16/01/2024

Hi Beauties !!!

Karibuni necklaces nzuri sana sana sana. Kitu stainless steel na haiwashi. Mwaka huu usikose kuweka fashion statement na Cheni zetu pendwa.

Bei ni Tsh 10,000/= tu.

Nicheki DM au WhatsApp kwa namba +255 654 411 689.

Karibuni sana. Ujanja ni kuwahi !!!

Hi Beauties !Karibuni Starz Jewelry mjipatie hereni nzuri, classy na zisizochakaa. Usikubali kupoa january hii. Njoo nik...
13/01/2024

Hi Beauties !

Karibuni Starz Jewelry mjipatie hereni nzuri, classy na zisizochakaa. Usikubali kupoa january hii. Njoo nikuuzie hereni za kishua zisizo na mbambamba.

Bei ni kitonga kabisa Shilingi 8,000 tu za kitanzania.

Napatikana Arusha mjini ukipenda kitu nadeliver kokote Tanzania. Nicheki DM au WhatsApp number +255 654 411 689.

Karibuni sana wateja wangu!

12/01/2024

Hi Beauties !

Karibuni bangili na bracelets nzuri sana. K**a picha zinavyoonyesha yani na ukiona kwa macho ni nzuri zaidi. K**a kawaida sisi hatuuzi vitu vya kupauka au kuwasha.

Bei zake ni 10,000/= tu. Tucheki DM au WhatsApp kwa namba +255 654 411 689 kuweka oda yako.

Tunapatikana Arusha mjini na ukipenda kitu tunadeliver kokote tanzania.

Karibuni sana!

10/01/2024

Hello Beauties!!!

Nimewaletea bangili mpyaaaa nzuuriii na unique. Hizi bangili hazipauki wala kuwasha. Iko very light mkononi.

Bei ni rahisi mno yaani ni 8,000/= tu.

Tunapatikana Arusha mjini ukipenda kitu tunadeliver.

Karibuni sana Starz Jewerly & Accessories kuona vingine vingi zaidi.

Nicheki 0654 411 689 whatsapp for more details.

Hi Beauties....Karibuni mjipatie bracelets nzuri sana zisizopauka kabisa wala kuwasha. December hii mkono usibaki kinyon...
12/12/2023

Hi Beauties....

Karibuni mjipatie bracelets nzuri sana zisizopauka kabisa wala kuwasha. December hii mkono usibaki kinyonge njoo tukupendezeshe na hizi clover na cartier bracelets.

Bracelet moja ni 10,000/=. Kwenye picha nimechanganya tofauti ili uone ukizistyle zinavyopendeza.

Tunapatikana Arusha mjini. Kwa sasa tuna online shop pekee. Ukipenda kitu tunadeliver kwa uaminifu mkubwa.

Karibuni sana! Tufollow Starz Jewerly & Accessories kuona vingi zaidi.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Starz Jewerly & Accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share