15/09/2026
πΏ KFP GARDEN SOLUTIONS πΏ
Bringing Nature Closer to You π±
Tunabadilisha mazingira yako kuwa sehemu nzuri, yenye kuvutia na yenye uhai. π
πΏ Landscaping & Garden Design β Tunapamba na kupanga mazingira yako kwa ubunifu na mtindo unaokufaa.
πΈ Maua & Plants β Maua na mimea mizuri kwa nyumba, ofisi, hoteli na matukio mbalimbali.
πͺ΄ Garden Care & Maintenance β Tunahakikisha bustani yako inaendelea kuwa safi, nzuri na yenye afya.
π± Ushauri wa Bustani β Tunakushauri kuhusu mimea, udongo, upandaji na utunzaji kulingana na mazingira yako.
KFP Garden Solutions β tunafanya mazingira yako yaongee kwa uzuri. πΏβ¨
π 0767607459
π² Instagram: KFP Garden Solns-0767607459