10/06/2026
๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐! ๐น๐ฟโ๏ธ
โSimba SC wamekamilisha usajili wa Bakari Msimu kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kukataa kuongeza mkataba mpya Coastal Union FC.
โFahamu: Coastal Union walikuwa wameandaa ofa mpya ya mkataba ili kumlinda na baadaye kumfanyia biashara mchezaji huyo, lakini Msimu alikataa ofa hiyo na kuchagua kuhamia kwa miamba hiyo ya soka la Tanzania.
โ๐ฐ Mchanganuo wa dili:
โMshahara wa mwaka wa 1: TSh 6M
โMshahara wa mwaka wa 2: TSh 7M
โAda ya usajili: TSh 120M
โUwekezaji madhubuti huku Simba wakiimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya. ๐ดโช
โ