Dalali Bagamoyo dar

Dalali Bagamoyo dar Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dalali Bagamoyo dar, Shopping & retail, www. sizzobyba@gmail. com, Bagamoyo.

30/01/2026

🏑 NYUMBA INAUZWA – BAGAMOYO (KITOPENI) 🏑
Unatafuta nyumba bora kwa makazi au uwekezaji?
Hii ndiyo fursa sahihi kwako!

πŸ“ Location: Kitopeni – Bagamoyo
πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 800
βœ… Kiwanja kimepimwa rasmi

🏠 Sifa za Nyumba:
βœ”οΈ Vyumba 3 vya kulala
βœ”οΈ Chumba 1 Master
βœ”οΈ Sebule kubwa na ya kisasa
βœ”οΈ Jiko
βœ”οΈ Choo cha public
βœ”οΈ Umeme upo
βœ”οΈ Maji ya kisima
βœ”οΈ Mabanda ya kuku (kwa ufugaji au biashara)

πŸ“„ Nyaraka:
βœ”οΈ Hati miliki halali ya Wizara ya Ardhi
πŸ’° Bei: Milioni 50 (maongezi yapo)
🧾 Service charge: Tsh 30,000 tu

πŸš— Site visit:
Ni kila siku β€” piga simu unapopata muda, utapelekwa site moja kwa moja.
πŸ“ž Mawasiliano:
πŸ“± 0687627903 WhatsApp

πŸ‘‰ Nyumba ipo eneo zuri, tulivu na lenye maendeleo makubwa β€”
ni bora kwa kuishi au kuwekeza kwa faida ya muda mrefu.
Usikose hii fursa adimu πŸ”‘βœ¨

🏑 NYUMBA INAUZWA – BAGAMOYOπŸ“ LOCATION: Kidongo Chekundu, BagamoyoTunauza nyumba nzuri sana yenye fursa kubwa ya makazi a...
27/12/2025

🏑 NYUMBA INAUZWA – BAGAMOYO
πŸ“ LOCATION: Kidongo Chekundu, Bagamoyo

Tunauza nyumba nzuri sana yenye fursa kubwa ya makazi au uwekezaji wa upangishaji.

πŸ”Ή MAELEZO YA KIWANJA:
Ukubwa: 15Γ—15 mita
Kiwanja bado hakijapimwa
Nafasi iliyobaki ni ndogo sana
Hakina barabara kubwa ya gari (barabara ya kawaida ipo)

πŸ”Ή MAELEZO YA NYUMBA:
βœ… Nyumba 2 zipo ndani ya kiwanja
Nyumba kubwa:
Vyumba 2 vya kulala (vyote master)
Jiko
Nyumba ndogo:
Chumba 1 master
Sebule kubwa

πŸ”Ή HUDUMA:
πŸ’§ Maji ya kisima yapo
⚑ Umeme upo

πŸ”Ή FAIDA ZA ZIADA:
βœ” Nyumba tayari zina wapangaji
βœ” Nzuri kwa kuishi na familia au kupandisha kodi
βœ” Nyumba iko katika hali nzuri bila changamoto yoyote
πŸ“„ Nyaraka:

HATI: YA mauziano kutoka Serikali za Mitaa

ℹ️ SABABU YA KUUZA:
Mmiliki ameamua kuuza kwa sababu zake binafsi tu.

πŸ“ž SITE VISIT:
Ni kila siku, piga simu muda wowote – utapelekwa site moja kwa moja.

πŸ“² WASILIANA NASI:
0687627903 Whatsapp
0679537873

Uaminifu β€’ Uharaka β€’ Huduma Bora

πŸ“’ KIWANJA KINAUZWA BAGAMOYO πŸ”Ή ENEO: Ukuni, BagamoyoπŸ”Ή UKUBWA: Heka 1πŸ”Ή Aina ya Kiwanja: Kiwanja cha kona, kimepimwaπŸ”Ή MANDH...
24/12/2025

πŸ“’ KIWANJA KINAUZWA BAGAMOYO

πŸ”Ή ENEO: Ukuni, Bagamoyo
πŸ”Ή UKUBWA: Heka 1
πŸ”Ή Aina ya Kiwanja: Kiwanja cha kona, kimepimwa

πŸ”Ή MANDHARI: Kinaangalia barabara kubwa ya lami (Msata Road)
πŸ”Ή UMBALI: Kutoka Round About hadi kiwanjani Ni mita 400 tu

πŸ”Ή HATI: Hati miliki Title Deed
πŸ”Ή BEI: Milioni 320 TZS

πŸ”Ή SERVICE CHARGE: 30,000 TZS
πŸ”Ή MAELEZO ZAIDI: Kiwanja kizuri sana kwa makazi au biashara.

SITE VISIT: Kila siku unapopata muda – piga simu, tutakupeleka kuona kiwanja

MAWASILIANO:
0687627903 WhatsApp
0679537873 Calls&Sms
Or Dm Asante 🀝

NYUMBA INAUZWA BAGAMOYO Location: Kidongo chekunduKiwanja akijapimwaUkubwa wa kiwanja sqm 15x15Nyumba zipo 2Nyumba kubwa...
01/10/2025

NYUMBA INAUZWA BAGAMOYO
Location: Kidongo chekundu
Kiwanja akijapimwa
Ukubwa wa kiwanja sqm 15x15

Nyumba zipo 2
Nyumba kubwa ina vyumba viwili vya kulala vyumba
vyote master, na jiko
Nyumba ndogo

Nyumba ina sebule kubwa na chumba master
Nyumba imefungwa camera
Nyumba zuri kwa jili ya kupangisha

Document: hati ya mauziano ya serikali za mitaa

Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu
utapelekwa site

CALL/SMS/WHATSAPP
0687627903

t

NYUMBA INAUZWA BAGAMOYO Location: KinganiKiwanja akijapimwaUkubwa wa kiwanja 30x25Nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba ...
07/07/2025

NYUMBA INAUZWA BAGAMOYO

Location: Kingani
Kiwanja akijapimwa
Ukubwa wa kiwanja 30x25

Nyumba ina vyumba 3 vya kulala chumba kimoja
master, sebule, kijo, stoo, choo cha public
Kiwanja ni kikubwa sana unaweza ukajenga ata nyumba
mbili k**a izi

Document hati ya mauziano ya serikali za mitaa

Service chaji elfu 30

Bei milioni 21 maongezi yapo
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu
utapelekwa site

NIPIGIE 0687627903
WHATSAPP 0679537873

INAJITEGEMEA NDANI YA FENSI LOCATION SANZALEINA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE JIKO DINNING ROOMUMEMEMAJIGETI NIPIGI...
05/06/2025

INAJITEGEMEA NDANI YA FENSI

LOCATION SANZALE

INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
DINNING ROOM
UMEME
MAJI
GETI

NIPIGIE 0687627903
WHATSAPP 0679537873
SERVICE CHARGE ELF 20

05/06/2025
KIWANJA KINAUZWAMapinga kimere Bei mil 5 maongez yapoUkubwa SQM 600Maji UMEME vipoKilomita moja kutoka vikawe roadNipigi...
30/04/2025

KIWANJA KINAUZWA
Mapinga kimere

Bei mil 5 maongez yapo
Ukubwa SQM 600

Maji UMEME vipo

Kilomita moja kutoka vikawe road
Nipigie simu 0687627903
WhatsApp 0687627903
Service Chaji elf 30

Address

Www. Sizzobyba@gmail. Com
Bagamoyo

Telephone

+255743969988

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali Bagamoyo dar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share