02/11/2022
K**a bado unajiuliza haya maswali hapa chini, una uhitaji mkubwa sana wa kitabu changu cha "MCHANGANUO WA BIASHARA 14 ZINAZOLIPA ZAIDI" ili kiweze kukusaidia na kukupa suluhisho thabiti.
°Biashara gani ya kufanya?
°Je ina faida nzuri?
°Je soko lake linapatikana vipi?
°Je soko lake ni la kudumu au la muda mrefu au msimu?
°Je changamoto zake ni zipi za kukabiliana nazo kabla na baada ya kuanzisha biashara yenyewe?
°Je niwe na mtaji kiasi gani kuanzisha biashara husika?
°Je hiyo biashara inatatua matatizo ya watu au laa! ili niwe na uhakika wa kutengeneza pesa nyingi leo na keshokutwa?
NDANI YA KITABU HIKI:
Utajifunza biashara namba:-
7. Biashara ambayo ni ya faida ya mamilioni ya pesa na siyo maarufu sana lakini inatafutwa usiku na mchana na inafanywa na watu wachache sana wenye jicho la kutambua pesa nyingi zilipo.
5. Biashara inayotengeneza watu waliofanikiwa kwa muda mfupi sana kuliko ilivyozoeleka
3. Biashara ambayo ukianzisha faida ni lazima na kupoteza mtaji ni vigumu mnooo! labda uibiwe mzigo wote. Biashara hii mimi mwenyewe naifanya kwa 80% kwa sasa.
2. Hii ni biashara ambayo kwanza mimi naifanya kwa 100% maana ndiyo biashara iliyonipa faida kubwa sana. Biashara hii unaweza kuanza hata kwa mtaji mdogo wa elfu hamsini na ukakuza mtaji wako haraka kuliko biashara nyingine yoyote katika kitabu hiki. Na pia nafundisha uzalishaji wa hii biashara kwa gharama ndogo sana.
NB. Na nyingine nyingi zilizobakia utapata kuzijua zote kwa kina zaidi ndani ya kitabu hiki, ibakie kwako kuchagua biashara inayofaa mazingira uliopo na mtaji ulionao kwa sasa.
Kitabu kipo katika mfumo wa "soft copy" hivyo baada ya malipo utatumiwa kitabu kwa njia mbili, Email na WhatsApp.
Gharama ya kitabu ni bei gani?
Thamani na bei halisi ya kitabu hiki ni Tsh.20,000
Lakini leo una bahati kwani utakipata kitabu hiki kwa bei punguzo ya Tsh.10,000/= pekee, bei sawa na bure kwa thamani ya kitabu hiki.
Jiunge sasa hivi ndani ya group hili la Telegram ili kupata taratibu za malipo na kutumiwa kitabu chako,
https://t.me/+Pz8UoZvYvAA5NjU0