20/08/2026
WEAR TANZANIA. CARRY THE PRIDE. 🇹🇿
Shanga zikikutana na rangi za taifa.
Anklet hii imeundwa kwa rangi za Bendera ya Tanzania, ikibeba uzuri, utambulisho na fahari ya Tanzania katika kila hatua.
MAKK Cley — Tanzanian Pride, Worn Your Way.