09/09/2024
KUNA MAMBO 7 NINGEKUSHAURI UYATAFUTE SANA K**A UNATAKA KUWA MTU KATI YA WATU HAPA DUNIANI
1. UTAKATIFU (HOLINESS)
Waebrania 12:14
[14]Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:
2. HEKIMA MBALIMBALI ZA MUNGU (DIFFERENT KIND OF DIVINE WISDOMS)
1 Wafalme 10:4-14
[4]Naye malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani, na nyumba aliyokuwa ameijenga,
And when the queen of Sheba had seen all Solomon's wisdom, and the house that he had built,
[5]na chakula cha mezani pake, na watumishi wake walivyokaa, na kusimamia kwao wangoje wake, na mavazi yao, na wanyweshaji wake, na daraja yake ya kupandia mpaka nyumba ya BWANA, roho yake ilizimia.
And the meat of his table, and the sitting of his servants, and the attendance of his ministers, and their apparel, and his cupbearers, and his ascent by which he went up unto the house of the LORD; there was no more spirit in her.
[6]Akamwambia mfalme, Ndizo kweli habari zile nilizozisikia katika nchi yangu za mambo yako na za hekima yako.
And she said to the king, It was a true report that I heard in mine own land of thy acts and of thy wisdom.
[7]Lakini mimi sikuzisadiki habari hizo, hata nilipokuja na kuona kwa macho yangu; tena, tazama, sikuambiwa nusu; wewe umezidi kwa hekima na kufanikiwa kuliko habari nilizozisikia.
Howbeit I believed not the words, until I came, and mine eyes had seen it: and, behold, the half was not told me: thy wisdom and prosperity exceedeth the fame which I heard.
[8]Heri watu wako, na heri watumishi hawa wako, wasimamao mbele yako siku zote, wakisikia hekima yako.
Happy are thy men, happy are these thy servants, which stand continually before thee, and that hear thy wisdom.
[9]Na ahimidiwe BWANA, Mungu wako, aliyependezwa nawe, ili akuweke juu ya kiti cha enzi cha Israeli; kwa kuwa BWANA amewapenda Israeli milele, kwa hiyo amekufanya kuwa mfalme, ufanye hukumu na haki.
Blessed be the LORD thy God, which delighted in thee, to set thee on the throne of Israel: because the LORD loved Israel for ever, therefore made he thee king, to do judgment and justice.
[10]Basi akampa mfalme talanta za dhahabu mia na ishirini, na manukato mengi, mengi sana, na vito vya thamani; wala haukuja tena wingi wa manukato, k**a hayo malkia wa Sheba aliyompa mfalme Sulemani.
And she gave the king an hundred and twenty talents of gold, and of spices very great store, and precious stones: there came no more such abundance of spices as these which the queen of Sheba gave to king Solomon.
[11]Tena merikebu za Hiramu, zilizochukua dhahabu kutoka Ofiri, zikaleta kutoka Ofiri miti ya msandali mingi sana, na vito vya thamani.
And the navy also of Hiram, that brought gold from Ophir, brought in from Ophir great plenty of almug trees, and precious stones.
[12]Mfalme akafanya kwa mia hiyo ya msandali nguzo za nyumba ya BWANA, na za nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda vya hao waimbaji; wala haikuja miti ya msandali k**a hiyo, wala haikuonekana, hata leo.
And the king made of the almug trees pillars for the house of the LORD, and for the king's house, harps also and psalteries for singers: there came no such almug trees, nor were seen unto this day.
[13]Naye mfalme Sulemani akampa malkia wa Sheba haja yake yote, kila alilotaka, zaidi ya hayo aliyopewa na Sulemani kwa ukarimu wake wa kifalme. Basi, akarudi akaenda zake katika nchi yake, yeye na watumishi wake.
And king Solomon gave unto the queen of Sheba all her desire, whatsoever she asked, beside that which Solomon gave her of his royal bounty. So she turned and went to her own country, she and her servants.
[14]Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita,
Now the weight of gold that came to Solomon in one year was six hundred threescore and six talents of gold,
3. AINA MBALIMBALI ZA UPAKO (ANOINTINGS)
Hakuna aina moja ya upako, kuna pako mbalimbali, na ili uwe na matokeo kila mahali, tafuta hizo!
Luka 4:14
[14]Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akenda Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.
And Jesus returned in the power of the Spirit into Galilee: and there went out a fame of him through all the region round about.
Matendo ya Mitume 10:38
[38]habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu naye akazunguka huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Ibilisi; kwa maana Mungu alikuwa pamoja naye.
How God anointed Jesus of Nazareth with the Holy Ghost and with power: who went about doing good, and healing all that were oppressed of the devil; for God was with him.
Zaburi 23:5
[5]Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.
Thou preparest a table before me in the presence of mine enemies: thou anointest my head with oil; my cup runneth over.
4. NEEMA MBALI MBALI ZA MUNGU NA WALIZOBEBA WATU FULANI HAPA DUNIANI (GRACES OF GOD AND UPON MEN)
1 Petro 4:10
[10]kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; k**a mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
As every man hath received the gift, even so minister the same one to another, as good stewards of the manifold grace of God.
1 Wakorintho 15:9-10
[9]Maana mimi ni mdogo katika mitume, nisiyestahili kuitwa mitume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu.
For I am the least of the apostles, that am not meet to be called an apostle, because I persecuted the church of God.
[10]Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nalizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.
But by the grace of God I am what I am: and his grace which was bestowed upon me was not in vain; but I laboured more abundantly than they all: yet not I, but the grace of God which was with me.
5. MAARIFA KWENYE KILA ENEO LA MAISHA (KNOWLEDGE OVER EVERY SPHERE OF LIFE ESPECIALLY ON YOUR GOD GIVEN PURPOSE)
Isaya 5:13
[13]Kwa sababu hiyo watu wangu wamechukuliwa mateka, kwa kukosa kuwa na maarifa; na watu wao wenye cheo wana njaa, na wengi wao waona kiu sana.
Therefore my people are gone into captivity, because they have no knowledge: and their honourable men are famished, and their multitude dried up with thirst.
Mithali 24:5
[5]Mtu mwenye hekima ana nguvu;
Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo;
A wise man is strong; yea, a man of knowledge increaseth strength.
6. AKILI YA KUJUA NYAKATI NA MAJIRA NA NINI CHA KUFANYA KILA WAKATI AU KILA MAJIRA (UNDERSTANDING OF TIMES AND WHAT TO DO IN SEASONS)
1 Mambo ya Nyakati 12:32
[32]Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.
And of the children of Issachar, which were men that had understanding of the times, to know what Israel ought to do; the heads of them were two hundred; and all their brethren were at their commandment.
7. HEKIMA NA AKILI YA KUHUSIANA NA WATU WA NAMNA ZOTE (WISDOM ON HOW TO LIVE WITH ALL MEN)
Mithali 14:28
[28]Utukufu wa mfalme ni wingi wa watu wake;
Bali uchache wa watu ni uharibifu wa mkuu wao.
In the multitude of people is the king's honour: but in the want of people is the destruction of the prince.
Isaya 43:4
[4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Since thou wast precious in my sight, thou hast been honourable, and I have loved thee: therefore will I give men for thee, and people for thy life.
Luka 6:38
[38]Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwa-sukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.
Give, and it shall be given unto you; good measure, pressed down, and shaken together, and running over, shall men give into your bosom. For with the same measure that ye mete withal it shall be measured to you again.
HAYA YAKIWA MAISHANI MWAKO,
MAISHA UMEYAPATIA,
NA HAUTATUMIA NGUVU KUFANIKIWA,
YATAFUTE MPAKA YAWE MIKONONI MWAKO,
Pastor Dickson Cornel Kabigumila
Mchungaji Kiongozi ABC GLOBAL DUNIANI,
09/09/2022