28/12/2025
Dell Latitude E5520 โ Core i5 ๐ป
Laptop imara na yenye kasi kwa matumizi ya kazi, masomo na ofisi.
Ina processor ya Core i5, RAM 4GB, na HDD 250GB kwa kuhifadhi mafaili yako kwa urahisi.
Imewekwa Windows 10 tayari kwa matumizi, na chaja yake ipo.
๐ Mtumba kutoka UK โ hali nzuri
๐ฐ Bei: Tsh 250,000 tu
๐ Inafaa kwa ofisi, internet, movie na kazi za kila siku.
๐ Location: Kariakoo, Dar es Salaam
๐ Wasiliana: 0656 200 260
๐ Chaguo bora la Dell kwa ubora wa uhakika kwa bei nafuu.