09/12/2023
Lucex company, ni kampuni inayojihusisha na uhamasishaji na matangazo. Tunatoa huduma, kuuza na kutengeneza bidhaa mbalimbali. Tunashona na kudesign bidhaa k**a vile uniform za shule, sare za kazini, safety clothes n.k. pia tunajihusisha na kufanya printing ya T-shirts, calender, mabango makubwa na madogo, vitabu n.k, bila kusahau tunafanya printing ya T-shirts, kofia, mikoba, nguo za aina zote kwa kutumia technologia ya kisasa kabisa. Hatujaishia hapo tunafanya Graphics Designing pia, Posters, Fliers, Logo, Banners n.k .
Karibuni kupata huduma na bidhaa bora kabisaa.....kuja kwetu hutajutia kamwe.
Tunapatikana mtaa wa Ndovu na Nyamwezi, Kariakoo.
Wasiliana nasi: 0745239097/ 0743415724/ 0736910043