NKamaswahili

NKamaswahili Kiswahili fasaha

15/09/2021

Spread the loveKuva kuwa 28 rusama 2021, amasezerano ari hagati y’ishirahamwe ry’abahindi CONTEC GLOBAL rikora impapuro z’inzira n’impusha zo kugendesha …

07/06/2021

MFAHAMU HAYATI RAIS MAGUFULI

Kutoka familia ya kiwango cha chini, John Joseph Pombe Magufuli alizaliwa Chato, mkoani Geita, mwaka 1959.

Alipata shahada ya PhD katika kemia mwaka 2009.

Alichaguliwa kuwa Rais kwa mara ya kwanza mwaka 2015.

Kabla ya hapo, alihudumu mara nyingi k**a waziri. Kwa mfano, alisimamia wizara ya uvuvi na ufugaji, wizara ya kazi za serikali, n.k

Alibandikwa jina la «Tingatinga» kutokana na miradi yake ya kujenga taifa aliyoitekeleza.

Alipoanza kutawala, alivalia njuga ufisadi, aliimarisha uchumi wa taifa na akakwamua mafukara. Kwa mantiki hiyo, aliamua mshahara wake ugawanywe mara nne.

Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye, ameeleza kusikitishwa na kifo cha yule anayemchukua k**a ndugu, mwenza, mzalendo.

«Ni hasara kubwa kwa Tanzania na hasa kwa Afrika nzima», ameongezea Rais Ndayishimiye kabla ya kutangaza kipindi cha maombolezo cha siku saba.

23/04/2021

Address

79778918
Dar Es Salaam

Telephone

+25761778918

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NKamaswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share