Mlosa tv

Mlosa tv We are leading e-commerce business located in Dar es Salaam, Tanzania. At Mtanzania Super Dealer, we prioritize your satisfaction above everything else.

Our goal is to provide customers with a seamless and affordable online shopping experience. We specialize in supplying high-quality drugs, hospital equipment, and offering shoes at wholesale prices. Additionally, we offer a wide range of products including stylish women's and men's clothing, trendy handbags, home essentials, kitchenware, and much more. Our dedicated team is committed to delivering

exceptional customer service and ensuring the highest quality products that cater to your needs. Discover the convenience of online shopping with a trusted retailer by shopping with us today."

RASMI: Manchester City wametinga fainali ya Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea bao 1-0 katika mchezo wa Nusu Fainali ...
20/04/2024

RASMI: Manchester City wametinga fainali ya Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea bao 1-0 katika mchezo wa Nusu Fainali uliopigwa Uwanja wa Wembley

FT : Chelsea 0-1 Man City
⚽ Bernardo Silva

BENCHIKHA: WACHEZAJI WA SIMBA NI WAGUMU KUELEWA."Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaj...
20/04/2024

BENCHIKHA: WACHEZAJI WA SIMBA NI WAGUMU KUELEWA.

"Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa k**a hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu"

"Nitaongea tena na viongozi wangu k**a nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa ila k**a watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi"

πŸ—£ Benchikah

Follow ukurasa wetu SSoka magic

NJE NDANI HII MZEE Simba sc wamekubali kipigo cha kufungwa nyumbani na ugenini na Young Africans sc kwenye msimu mmoja(1...
20/04/2024

NJE NDANI HII MZEE

Simba sc wamekubali kipigo cha kufungwa nyumbani na ugenini na Young Africans sc kwenye msimu mmoja(1) wa ligi kuu NBC premier League tangu mwaka 2015/2016

Wamefungwa jumla ya magoli saba(7) kwa goli mbili (2)

Mzunguko wa kwanza Simba Sc 1-5 Young Africans sc 05 November 2023

Mzunguko wa pili Young Africans sc 2-1 Simba Sc 20 April 2024 ( AGGREGATE 7-2)

Simba sc wamekubali kupoteza point zote Sita(6) dhidi ya Young Africans sc kwenye msimu mmoja (1)

TETESI: YANGA KUMTAKA PHIRI πŸ”° Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, JENERALI Moses Phiri ameripotiwa kuwasilisha barua ya kuvu...
25/12/2023

TETESI: YANGA KUMTAKA PHIRI πŸ”°

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, JENERALI Moses Phiri ameripotiwa kuwasilisha barua ya kuvunja mkataba na Wekundu hao wa Msimbazi huku akitaka kuondoka klabuni hapo kwenye Dirisha Dogo la Usajili.

Mzambia huyo anaripotiwa kuwa tayari yupo kwenye rada za Watani wao, Yanga SC huku Wananchi wakitajwa kuwasiliana na wawakilishi wake ili kuona uwezekano wa kunasa saini yake wakati wakitarajia kuachana na baadhi ya wachezaji akiwepo Hafiz Konkoni.

BREAKING πŸ”΄    Klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa mchezaji wa klabu ya River Plate raia wa Argentina Claudi...
25/12/2023

BREAKING πŸ”΄

Klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa mchezaji wa klabu ya River Plate raia wa Argentina Claudio Echeverri kwa dau la €20m,kilichobaki ni kutambulishwa kwa mchezaji huyo kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo. πŸ”΅πŸ’™βœ…

CliCliff

  "Tunatafuta mshambuliaji lakini kwenye dirisha dogo ni ngumu kupata mchezaji kwa sababu wachezaji wengi wazuri wapo kw...
24/12/2023

"Tunatafuta mshambuliaji lakini kwenye dirisha dogo ni ngumu kupata mchezaji kwa sababu wachezaji wengi wazuri wapo kwenye mikataba na timu zao na klabu hawawezi kuwaachia kirahisi wachezaji wao lakini watu wanapaswa kujua kumpata mshambuliaji kuna vitu viwili"

"Mosi ni kujua mchezaji gani anapaswa kusajiliwa lakini pili ni kiwango gani cha fedha tunacho kwa ajili ya kupata mchezaji husika" - Miguel Gamondi, Kocha wa Yanga SC.

Beki wa kati wa Sevilla πŸ‡ͺπŸ‡Έ Sergio Ramos (37) anazidi kutanua kipaji chake cha muziki baada ya kushirikiana  na kundi la ...
24/12/2023

Beki wa kati wa Sevilla πŸ‡ͺπŸ‡Έ Sergio Ramos (37) anazidi kutanua kipaji chake cha muziki baada ya kushirikiana na kundi la muziki la Los Yakis kwenye wimbo wao mpya wa "No Me Contradigas". 🎢

Wimbo huo umetazamwa na laki tisa huko YouTube ndani ya siku mbili.

Kikosi cha Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) kinachoingia kambini Desemba 25, 2023 kwa mchezo dhidi ya Zanzibar Heroes
24/12/2023

Kikosi cha Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) kinachoingia kambini Desemba 25, 2023 kwa mchezo dhidi ya Zanzibar Heroes

AZIZ KI JANGWANI MPAKA 2025 πŸ”°Mpaka sasa taarifa zilipo ni kiungo mshambuliaji Aziz ki kuongeza mkataba mpya wa kuendelea...
24/12/2023

AZIZ KI JANGWANI MPAKA 2025 πŸ”°

Mpaka sasa taarifa zilipo ni kiungo mshambuliaji Aziz ki kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga jangwani.

Kwa maana hiyo Aziz ki ataendelea kuwa mchezaji wa Yanga mpaka mwaka 2025.

πŸ“Š Takwimu za FEI TOTO tangu ajiunge na Azam FC  .🏟️ 10β€” Mechi⚽️ 06β€” Mabao🎯 04β€” Assists.KWENYE Magoli 24 yaliyofungwa na ...
26/11/2023

πŸ“Š Takwimu za FEI TOTO tangu ajiunge na Azam FC .

🏟️ 10β€” Mechi
⚽️ 06β€” Mabao
🎯 04β€” Assists.

KWENYE Magoli 24 yaliyofungwa na Azam FC msimu huu,FEI TOTO amechangia magoli 10

FEISAL FUNDI WA KABUMBU.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlosa tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mlosa tv:

Share