Asali ya nyuki wadogo wasiouma -stingless honey

Asali ya nyuki wadogo wasiouma -stingless honey Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asali ya nyuki wadogo wasiouma -stingless honey, Shopping & retail, Dar es Salaam.

Kwa mahitaji ya asali ya nyuki wadogo nipigie kwa namba 0694065025 nipo dar es salaam nauza kwa bei nafuu na ni asali pure imethibitishwa kutoka tabora karibu sana

25/01/2025

"MAAJABU YA ASALI YA NYUKI WADOGO KM HUYAJUI PITIA DAKIKA 2

Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu k**a chakula na tiba kwa maradhi mbalimbali, sababu kubwa ikiwa ni utajiri wa virutubisho, madini na uwezo wa kutibu magonjwa mara mbili zaidi ya asali ya kawaida!

Miongoni mwa maradhi yanayotibika kwa asali ya nyuki wapole/wadogo ni MAGONJWA YA MOYO hasa MOYO ULIOPANUKA! Mtoto mdogo aliyezaliwa na moyo mpana, wenye tundu alipona kabisa kwa kutumia tiba hii
Faida zaidi ni kuongeza kinga ya mwili, kuboresha mzunguko wa damu, kuondoa lehemu mbaya (LDL-chole
sterol) kupunguza unene/uzito, shida ya kukosa usingizi, matatizo ktk mfumo wa chakula, kupunguza maumivu wakati wa hedhi, kuimarisha ubongo, matatizo ya mfumo wa upumuaji (kikohozi,mafua,pumu) n.k

Virutubisho vilivyojaa katika asali ya nyuki wadogo ni pamoja na vitamini A,B1,B2,B3,B5,B6,B8,B9,B12 na vitamini C. Madini Calcium, Magnesium, Potasi, Chuma na Zink pamoja na kiasi kidogo cha protini na hormone.

Kwa shida zote za afya,na kwaajiri ya afya, tumia kijiko cha chai cha asali hii asubuhi na jioni
Bei yake ni 55,000/= kwa lita moja.
Ni bei kubwa lakini faida zake ni zaidi ya bei hiyo.
Yakiasili, mbichi, Original na ya uhakika
Napatikana Dar es salaam usafiri ni bure na mkoani pia natuma"

27/12/2024

JINSI YA KUJITIBU KIDONDA BILA KUACHA KOVU
Je umewahi kusikia asali inaponya vidonda bila kuacha kovu?
Kwanza kabisa ni vizuri kuishi ndani kwako au ofisini kwako ukiwa na asali,itakusaidia pindi unapopata jeraha la kuungua au kuumia kwa namna yoyote ile.
Asali hupakwa mahali penye jeraha kwa asubuhi na jioni ,husaidia kukuponya haraka jeraha lako pia pindi utakapoanza kupona kidonda kikinyauka basi ngozi yako itarudi vizuri k**a ulivyokuwa awali utafikiri hapa kuwa na kidonda .
Kwa hiyo basi kwa mahitaji yako ya asali unaweza kuja ofisini kwetu JM supermarket iliyopo mbezi luisi karibu na bank ya NMB au piga 0694065025

12/11/2024

You are welcome to buy our original products of stingless honey from little bees known as stingless
Price and quantity are indicated bellow
QUANTITY. PRICE
1/4. Litre 15000tsh
1/2. Litre 28000tsh
1. Litre 50000tsh

19/08/2024

Jipatie asali bora ya nyuki wadogo kwa Dar es Salaam ofisi ipo JM supermarket mbezi mwisho karibu na benki ya NMB

06/01/2024
21/02/2022

You are Welcome to buy our stingless pure honey which is good,natural and safety to your health

Asali bora kabisa inapatikana Lita 1.    tsh 55000Nusu.     tsh 28000Robo      tsh 15000Weka oda yako nikuletee ulipo as...
03/08/2020

Asali bora kabisa inapatikana
Lita 1. tsh 55000
Nusu. tsh 28000
Robo tsh 15000
Weka oda yako nikuletee ulipo asali ya nyuki wadogo,ni bora ya asili na haijachakachuliwa
Agiza tutengeneze uteja
KARIBUNI WATEJA WANGU

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255694065025

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asali ya nyuki wadogo wasiouma -stingless honey posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share