Munna's Gala

Munna's Gala Munna's Gala inahusika na Uuzaji Wa Vitambaa Vya Madera, Mitandio, Nguo za Stara n.k kwa bei ya juml

Vitambaa vya madera na sendals kwa bei poa sana kitambaa bei ni shillingi elfu 20000 na elf 17000 kwa jumla kuanzia vita...
13/06/2020

Vitambaa vya madera na sendals kwa bei poa sana kitambaa bei ni shillingi elfu 20000 na elf 17000 kwa jumla kuanzia vitambaa sita na sendals ni elfu 10000 kwa pair moja na elfu 80000 bei ya jumla kuanzia pair 10 ... ukubwa wa kitambaa ni mita 3 na robo na upana ni 36 na havipauki ni quality nzuri namba ya whatsapp ni 0657356507 ... karibuni sana

Habari wapenzi na wateja wa vitambaa vya madera na viatu karibuni muweke order zenu vitambaa ni shilling elfu ishirini k...
11/06/2020

Habari wapenzi na wateja wa vitambaa vya madera na viatu karibuni muweke order zenu vitambaa ni shilling elfu ishirini kwa bei ya reja reja na elfu 17 kwa bei ya jumla kuanzia vitambaa 6, urefu wa vitambaa ni mita 3 na robo na upana ni 36, mitandio ni mikubwa unakua wa rangi tupu, vitambaa ni quality nzuri na wala havipauki na viatu bei yake ni elfu 10 kwa kila pair ... napatikana maeneo ya tabata baracuda, sina duka biashara nafanyia nyumbani ... kwa mawasiliano zaidi nitumie ujumbe whatsapp kwa namba 0657356507 ... Karibuni sana

Wateja karibuni sana vitambaa vya madera vikiwa na mitandio yake ... bei yake ni elfu 20000 kwa reja reja na elfu 17000 ...
03/06/2020

Wateja karibuni sana vitambaa vya madera vikiwa na mitandio yake ... bei yake ni elfu 20000 kwa reja reja na elfu 17000 kwa bei ya jumla kuanzia pc 6, vitambaa vina urefu wa mita 3 na upana 36 ukishona unapata dera moja pia ukifua haviruki wala kuchuja... kwa mawasiliano zaidi nitumie ujumbe whatsapp 0657356507 .. na pia biashara ni ya nyumbani sina duka na delivery zipo na mikoani natuma kwa gharama za mteja ... karibuni sana

Habari ... kwa wale wateja wa vitambaa vya kushonea madera angalia utakachopenda katika hivi bei yake ni elfu 20 kwa rej...
29/05/2020

Habari ... kwa wale wateja wa vitambaa vya kushonea madera angalia utakachopenda katika hivi bei yake ni elfu 20 kwa reja reja na elfu 17 kwa bei ya jumla kuanzia vitambaa 6 kila kitambaa ukinunua kinakua na mtandio wake alaf nitumie ujumbe what'sapp kwa namba 0657356507 kuweka order yako, napatikana tabata baracuda (Dar es salaam) biashara nafanyia nyumbani sina duka, delivery ipo kwa shillingi elfu 5000 kwa hapa dar kwa wale walioko mbali ila ukiwa karibu ni elfu 3 na mikoani natuma pia ila kwa gharama za mteja. Karibuni sana.

Wapendwa huu hapa ni mzigo mpya ambao bei yake kwa kitambaa kimoja ni elfu 20 na 17 kwa jumla ambayo ni kuanzia kwa pcs ...
06/05/2020

Wapendwa huu hapa ni mzigo mpya ambao bei yake kwa kitambaa kimoja ni elfu 20 na 17 kwa jumla ambayo ni kuanzia kwa pcs 6, urefu wa vitambaa hivi ni mita tatu na robo na mapana ni 60 ... weka order yako mapema kwenye namba yangu ya whatsapp kwenye bio ya page yangu.

Karibuni Munna's Gala mjipatie vitambaa vya madera na mitandio pamoja na nguo nzuri kutoka oman
01/05/2020

Karibuni Munna's Gala mjipatie vitambaa vya madera na mitandio pamoja na nguo nzuri kutoka oman

Address

Liwiti (Tabata)
Dar Es Salaam

Telephone

+255657356507

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Munna's Gala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Munna's Gala:

Share