mbao_kutoka_mafinga_iringa

mbao_kutoka_mafinga_iringa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mbao_kutoka_mafinga_iringa, Shopping & retail, Dar es Salaam.

25/02/2026

Tupo Buguruni karibu na sheli ya Like Oil – unachukua mwenyewe au tunakuletea mpaka site yako ndani ya Dar.

Jipatie mbao za jumla na rejareja kwa bei rafiki!
Tunauza mbao treated (zenye dawa) kutoka mafinga SAO HILL kwa bei nafuu mno
Fika ofisini kwetu BUGURUNI KARIBU NA DARAJA LA UMEMEau tupigie 0719864986..USAFIRI NI BURE MPAKA SITE..
Bei zetu;
2*4 futi 18 sh 12600/= au futi 1 sh 700/=
2*2 futi 18 sh 6300/=
2*3 futi 18 sh 10,000/=
2x6 ft 18 sh 20,000

2*4 futi 12 sh 5800/=
2*2 futi 12 sh 2900/=
2x6 futi 12 sh 9000/=

Site zote utapata kwa bei nafuu sana..
Ikumbukwe usafiri ni BURE MPAKA SITE.. KARIBUNI!! ujenziplan ujenziplan ujenzitanzania ujenziwakisasa ujenzielekezi ujenzimarket ujenzihuru ujenzialuminium ujenzibora ujenziimara ujenzitz mbaorientation mbaokulları mbaofc washablefacemask fundiaries bongo5updates bongo5updates bongobass baikokochallenge baikokotanga alaftanzania sunshine mabati kiroborobot emsakhan mamadangote ankoshamte

25/02/2026

Tunauza mbao treated (zenye dawa) kutoka mafinga SAO HILL kwa bei nafuu mno
Fika ofisini kwetu BUGURUNI KARIBU NA DARAJA LA UMEMEau tupigie 0719864986..USAFIRI NI BURE MPAKA SITE..
Bei zetu;
2*4 futi 18 sh 12600/= au futi 1 sh 700/=
2*2 futi 18 sh 6300/=
2*3 futi 18 sh 10,000/=
2x6 ft 18 sh 20,000

2*4 futi 12 sh 5800/=
2*2 futi 12 sh 2900/=
2x6 futi 12 sh 9000/=

Site zote utapata kwa bei nafuu sana..
Ikumbukwe usafiri ni BURE MPAKA SITE.. KARIBUNI!!

25/02/2026

TAARIFA KWA MAFUNDI WOTE WA KUPAUWA NYUMBA

Mafundi wenzetu, tunawasalimu!
Sisi tunawajua vizuri — tunajua juhudi zenu, tunajua changamoto zenu, na tunajua jinsi kazi zenu zinavyohitaji vifaa bora ili nyumba ipauke vizuri na kwa ubora wa hali ya juu.

Tunapenda kuwajulisha kwamba sisi tunauza mbao aina zote, zilizoidhinishwa na serikali, zenye ubora wa hali ya juu na bei rafiki kwa mafundi na wateja wote.

Tunawaomba kitu kimoja tu — pale unapokuwa na mteja wako, au umeshawahi kununua mbao kwetu halafu mteja wako akamuunganisha rafiki yake aje achukue mbao, tafadhali usimshawishi boss akanunue sehemu nyingine kwa sababu ya masilahi binafsi.
Njoo tufanye biashara pamoja, kwa uwazi na ushirikiano.

Kumbuka:
💰 Mafundi mna bei zenu za ndani – tunawajali, tunawathamini, na tunahakikisha hamtapoteza.
🤝 Tunathamini ushirikiano wenu, na tunapenda kuona mafundi wananufaika pamoja nasi.

Tushirikiane – ukileta mteja, hata sisi tunakupa faida yako rasmi, bila usumbufu wala mchezo.

👉 Sisi ni wauzaji wa mbao bora kutoka Mafinga – zenye ubora, uhalali na bei nzuri.

20/02/2026

Karibuni sana – wauzaji wa mbao aina zote za ujenzi 🏗️🌳

Tupo Buguruni karibu na sheli ya Like Oil – unachukua mwenyewe au tunakuletea mpaka site yako ndani ya Dar.

Jipatie mbao za jumla na rejareja kwa bei rafiki!

20/02/2026

Karibuni sana – wauzaji wa mbao aina zote za ujenzi 🏗️🌳

TUPIGIE Namba ya shamba*0719 864 986* kwa majitaji ya mbao na bei za Dar es saalam piga simu kwa meneja Mwinyi Buguruni
0714 636076

⚠️MBAO FUTI 12 ZISIZO NA DAWA
2X2 bei *1,200*
2X4 bei *3,700*
2X3 bei *2,900*
2X6 bei *4,500*

⚠️MBAO TREATED FUTI 18 TREATED
2X4 bei *8,500*
2x6 bei *1,2500*

⚠️MBAO NCH MOJA FUTI 12
1X8 bei *4,500*
1X10 bei *10,000*
1X6 bei *2,700*

⚠️MBAO NCH MOJA FUTI 18
1x8 bei *14,000*
1x10 bei *2,5000*

Wapakiaji 150,000
Document zote 800,000
Gari 2,600,000
Karibu mbao kutoka mafinga

⚠️WASILIANA NASI LEO
salaam. #

18/02/2026

✔️ Inafaa kwa mbao za ft 18–20
✔️ Inadumu muda mrefu hasa zikiwa treated

Tunauza mbao treated (zenye dawa) kutoka mafinga SAO HILL kwa bei nafuu mno
Fika ofisini kwetu BUGURUNI KARIBU NA DARAJA LA UMEMEau tupigie 0719864986..USAFIRI NI BURE MPAKA SITE..
Bei zetu;
2*4 futi 18 sh 12600/= au futi 1 sh 700/=
2*2 futi 18 sh 6300/=
2*3 futi 18 sh 10,000/=
2x6 ft 18 sh 20,000

2*4 futi 12 sh 5800/=
2*2 futi 12 sh 2900/=
2x6 futi 12 sh 9000/=

Site zote utapata kwa bei nafuu sana..
Ikumbukwe usafiri ni BURE MPAKA SITE.. KARIBUNI!!

kinondoni
kino
msemajimkuuwaserikali
msemajiwaserikali
Msemakweli
ikulumawasiliano
ikulu
ikuludodoma
ikulutanzania
ikuluzanzibar
ikuluchamonododoma
ikuludar
magufuli
tabata
tabataworkout
tabatasongs
MABATIMTETEZImbaokutokamafinga

17/02/2026

Kabla hatujaingia porini kukata miti 🌲 lazima tupite kwanza kwa mama wa supu na chapati 🔥

Hapa ni Mafinga – maeneo ya Jambeki, wenyeji wanapajua vizuri!
Supu ya moto, chapati laini, nguvu zinaongezeka kazi inaenda sawa 💪🏾

Ukifika Mafinga usipite bila kusalimia hapa kwanza 😋
Karibuni sana wapendwa wateja!

17/02/2026

Tupo Buguruni karibu na sheli ya Like Oil – unachukua mwenyewe au tunakuletea mpaka site yako ndani ya Dar.

Jipatie mbao za jumla na rejareja kwa bei rafiki!

Tunakuletea Mbao zetu Zilizokaushwa za CCA zinazotibiwa na Shinikizo kutoka SAO HILL INDUSTRIES!

Saizi Zinazopatikana:

2x2

2x4

2x6

Urefu:

4M | 5M |

6M

Pata mbao bora zaidi zinazopita mbao za kawaida zinazotibiwa!

Inapatikana: , Dar es

Salaam

Usikose!

PIGA SIMU:

+255 719864986

+255 789737526

+255 742131500

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mbao_kutoka_mafinga_iringa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share