GEE BEI CHEE

GEE BEI CHEE WAUZAJI WA VYOMBO VYA KISASA NA BIDHAA ZA MAJUMBANI KWA BEI POA KABISA(MASHUKA,MAPAZIA,NET,DUVERT,N.K

11/03/2026

Mattress Protector
Waterproof inazuia maji kulowesha godoro
Pia tuna Sofa Cover zenye muonekano mzuri wakupendezesha nyumba yako
Karibu Gee Bei Chee Solution

Set ya Non-stick SufuriaKubwa, Imara na Original kabisa
09/03/2026

Set ya Non-stick Sufuria
Kubwa, Imara na Original kabisa

Infrared CookerJiko Zuri na Imara la UmemeHaichagua sufuria Inapika fasta na umeme kidogo
09/03/2026

Infrared Cooker
Jiko Zuri na Imara la Umeme
Haichagua sufuria
Inapika fasta na umeme kidogo

Matress Protector Nzito na ImaraNi cover Nzuri kwa godoro na inatunza godoro na kufanya iwe safi na nadhifu.Inakuja kati...
03/03/2026

Matress Protector
Nzito na Imara
Ni cover Nzuri kwa godoro na inatunza godoro na kufanya iwe safi na nadhifu.
Inakuja katika rangi tofauti tofauti

Vikombe vya Kishua Material Glass Ngumu Zipo za kutosha dukani kwetuTupigie:
03/03/2026

Vikombe vya Kishua
Material Glass Ngumu
Zipo za kutosha dukani kwetu

Tupigie:

02/03/2026

Gee Bei Chee tuna Hotpot aina mbalimbali.
Zote ni Nzuri, High Quality na zinatunza chakula kwa muda mrefu bila kupoza.

Serving TrayNzuri na Imara
02/03/2026

Serving Tray
Nzuri na Imara

Sufuria SetStainless Steel, Imara  na Zinadumu.
24/02/2026

Sufuria Set
Stainless Steel, Imara na Zinadumu.

Dinner Set 🔥Furahia chakula chako kwa kutumia vyombo vizuri na quality!!! Inakuja k**a ilivyo imejitoshelezaServing Pots...
23/02/2026

Dinner Set 🔥
Furahia chakula chako kwa kutumia vyombo vizuri na quality!!!
Inakuja k**a ilivyo imejitosheleza
Serving Pots 3
Sahani kubwa 6
Sahani ndogo 6
Vikombe 6
Vibakuli 6

21/02/2026

6pcs Bedding Set
Mashuka mazuri na quality kwa hotel na majumbani
Unapata Shuka 2 na Foronya 4
Size 8x9
Unapata Katika Rangi Tofauti Tofauti
Karibuni

Multi Cooker Inapika Vyakula Zaidi ya 20Inakuja na Sufuria yake na MwikoImara na rahisi kutumia
20/02/2026

Multi Cooker
Inapika Vyakula Zaidi ya 20
Inakuja na Sufuria yake na Mwiko
Imara na rahisi kutumia

Unahifadhi wapi vyakula vyako? Jipatie Airtight Containers Nzuri zenye ubora. Unaweza kutunza chakula kwenye friji, kuhi...
19/02/2026

Unahifadhi wapi vyakula vyako?
Jipatie Airtight Containers Nzuri zenye ubora. Unaweza kutunza chakula kwenye friji, kuhifadhi nafaka au kutumia k**a lunch box.

Ni plastic ngumu na zinahimili Hali ya joto na baridi.
Piga

Address

KARIAKOO MTAA WA SWAHILI NA MCHIKICHI
Dar Es Salaam

Telephone

+255764220882

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GEE BEI CHEE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share