Cornice Products

Cornice Products Organic skin and hair care products maker
Natural butters,oils, scrubs,soaps,

Karibuni kupendezà kwa kutumia Bidhaa za asili
14/11/2022

Karibuni kupendezà kwa kutumia Bidhaa za asili

Karibu upate ngozi nzuriPata srcub kopo kubwa, vitamin E serum na sabuni vyote kwa TSH.29500 tu
12/11/2022

Karibu upate ngozi nzuri
Pata srcub kopo kubwa, vitamin E serum na sabuni vyote kwa TSH.29500 tu

*it's Turmeric and honey again*Pata scrub ya manjano na asaliPata sabuni ya manjano na asaliPata vitamim E Hii ni packag...
12/10/2022

*it's Turmeric and honey again*

Pata scrub ya manjano na asali

Pata sabuni ya manjano na asali

Pata vitamim E

Hii ni package ambayo itaifanya ngozi yako iwe nzuri sana na yakuvutia

Itafanya uwe na muonekano mzuri
Changamoto za chunusi au Madoa kupitia package hii utasahau

💧Ni nzuri sana kwa wenye ngozi ya mafuta

💧inaondoa sugu za mikononi na miguuni

💧inaondoa stretch marks (michirizi)

💧wale walioharibika na matumizi ya vipozodi vyenye kemikali package hii ni nzuri kurudisha ngozi yako uwe mpya kabisa 🥰

TSH. 35000 tu

https://wa.me/message/KFXUUX6ZHI3RL1

Seti ya scrub ya manjano na asaliKwa TSH. 30,000 tuUnapata sabun + scrub kopo la 500g + Vitamin E serum 100mlFAIDA YA SC...
05/10/2022

Seti ya scrub ya manjano na asali
Kwa TSH. 30,000 tu
Unapata sabun + scrub kopo la 500g + Vitamin E serum 100ml

FAIDA YA SCRUB YA MANJANO NA VITAMIN E
INAONDOA CHUNUSI
INAONDOA MADOA
INAONDOKA MAKUNYANZI
NAKUKUACHA NA NGOZI NZURI YAKUVUTIA

NJOO WHATSAPP ULETEWE POPOTE ULIPO
PIA TUNAHITAJI MAWAKALA TANZANIA NZIMA

https://wa.me/message/KFXUUX6ZHI3RL1

faida za scrub ya mchele na asali *Inatibu rangi ya ngozi pamoja na madoa usoni.Inaondoa  mikunjo, michirizi,weusi kwapa...
04/10/2022

faida za scrub ya mchele na asali *
Inatibu rangi ya ngozi pamoja na madoa usoni.
Inaondoa mikunjo, michirizi,weusi kwapani na mapajani
Inaimarisha ngozi,
Inatakatisha ngozi

Ni cleanser nzuri sana ambayo inakuacha na ngozi soft

Utaipata kwa TSH.12000
Kopo la 500g

*Tunauza jumla pia karibuni sana*

https://wa.me/255769922210

Castor and Rosemary hair oilTSH.7000Mafuta mazuri yakujaza na kukuza nyweleCall/SMS/WhatsApp+255769922210
25/09/2022

Castor and Rosemary hair oil
TSH.7000

Mafuta mazuri yakujaza na kukuza nywele

Call/SMS/WhatsApp
+255769922210

faida za scrub ya mchele na asali *Inatibu rangi ya ngozi pamoja na madoa usoni.Inaondoa  mikunjo, michirizi,weusi kwapa...
23/09/2022

faida za scrub ya mchele na asali *
Inatibu rangi ya ngozi pamoja na madoa usoni.
Inaondoa mikunjo, michirizi,weusi kwapani na mapajani
Inaimarisha ngozi,
Inatakatisha ngozi

Ni cleanser nzuri sana ambayo inakuacha na ngozi soft

Utaipata kwa TSH.12000
Kopo la 500g

*Tunauza jumla pia karibuni sana*

PATA VITAMIN E SERUM KWA AJILI YA 🔹SUGU🔹KUWA NA NGOZI LAINI🔹KUONDOA MICHIRIZI🔹KUONDOA MAKUNYAZI🔹KUWA SOFT MWILI MZIMAKUW...
13/09/2021

PATA VITAMIN E SERUM KWA AJILI YA
🔹SUGU
🔹KUWA NA NGOZI LAINI
🔹KUONDOA MICHIRIZI
🔹KUONDOA MAKUNYAZI
🔹KUWA SOFT MWILI MZIMA

KUWA NA NGOZI 🔥🔥🔥🔥🔥

TUWASILIANE 0769922210

TSH.15000 tu
100ml

Address

Gongo La Mboto
Dar Es Salaam

Telephone

+255659503633

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cornice Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category