Ikaji Sports

Ikaji Sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ikaji Sports, Shopping & retail, Dar es Salaam.

Meridianbet Tanzania
27/12/2022

Meridianbet Tanzania

Baada ya ushindi mkubwa hapo jana wa 3-1 dhidi ya KMC, klabu ya Simba imeanza safari ya kurejea jijini Dar es salaam hii leo kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons.

Meridianbet Tanzania
02/12/2022

Meridianbet Tanzania

Aliyekua Kocha wa Yanga SC na baadae Mkurugenzi wa soka la vijana na wanawake wa klabu hiyo Mwinyi Zahera amejiunga na klabu ya Ligi Kuu ya Polisi Tanzania hadi mwisho wa msimu kwa mkataba wa miezi 6.

Meridianbet Tanzania
02/10/2022

Meridianbet Tanzania

Bashiri leo hii ukiwa na Meridianbet USSD mechi kali bila kutumia intaneti ili uweze kujiweka kwenye nafasi ya kushinda mkwanja mrefu wa zaidi ya Milioni 15, huku ukiweka mechi zako zozote unazotaka kutoka katika ligi mbalimbali.

18/09/2022

Antonio Conte amewaonya washambuliaji wa Tottenham kwamba watalazimika kuzoea kupumzishwa kwenye mechi na mechi ikiwa klabu hiyo italazimika kuingia kwenye orodha bora ya wachezaji Duniani.

18/09/2022

Kocha mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti amethibitisha kwa kusema kuwa mshambuliaji wake Kareem Benzema atalazimika kukaa nje kwenye mchezo wa Derby wa leo dhidi ya Atletico ambapo utapigwa majira ya saa 22:00 usiku.

Meridianbet Tanzania
17/09/2022

Meridianbet Tanzania

Mkufunzi wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema kuwa mzozo uliopo kati yao na wapinzani wao Real Madrid ni "Filamu Mpya" huku akisisitiza kuwa hali hiyo haina maana yoyote kuelekea mchezo wao wa Derby unaotarajiwa kwa hamu hapo Jumapili.

08/04/2021

usikose kutusikiliza katika kipindi chetu cha Dimbani leo 106.5 Mlimani radio kuanzia saa 1:00 hadi saa 2:00 usiku kila siku.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ikaji Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share