08/08/2026
Heri ya Siku ya Nane Nane!
Leo tunatambua na kuthamini juhudi, bidii na mchango wa wakulima katika kukuza uchumi na kuhakikisha tunapata chakula kila siku.
🌱Kwa kila mkulima, kazi yako ina thamani na mchango wako ni muhimu kwa taifa letu.
✳️Tusherehekee pamoja juhudi za wakulima wetu, share ujumbe huu!