City shop

City shop karibu katika ukurasa wetu uweze kujipatia bidhaa mbali mbali za fashion, home gudget na Nk

18/09/2021
Unaelewa nini kuhusu warranty card?gurantee?mimi nitaizungumzia warranty card warranty card ni yale makubaliano anayowek...
16/08/2021

Unaelewa nini kuhusu
warranty card?
gurantee?

mimi nitaizungumzia warranty card

warranty card ni yale makubaliano anayoweka muuzaji kulingana na ubora wa bidhaa yake kwa rugha rahisi anakuhakikishia bidhaa yake hautapata nayo shida yoyote na ikitokea anakufanyia return ya pesa au anakupa bidhaa mpya sasa hii card ni utambulisho wako pindi unapo rudi

Umeelewa sasa hakikisha unaponunua kwetu online unapewa warranty

tuambie wewe unaelewa nini kuhusu gurantee?
comment chini

16/08/2021

Hivi ndivyo tunavyofanya kazi zetu hapa ni utengenezaji wa warranty card

Inakua processing katika computer kisha inaenda kwenye printing machine

hatua ya mwisho tunafanya cutting na machine manual inayotumika kutengenezea card zote

Hii ndo saa iliyo valiwa na watu wajuu mwaka 1997...saa ilipewa jina la  SILVER TONE ilitengenezwa chini ya brand ya MEI...
15/08/2021

Hii ndo saa iliyo valiwa na watu wajuu mwaka 1997...

saa ilipewa jina la SILVER TONE ilitengenezwa chini ya brand ya MEIGEER

Saa hii kwa wakati huo ili valiwa na watu wajuu sana ilionekana ikivaliwa na Marubani,civil engineer,office managers,millitary officers,office staff,doctors,driver,na
wafanyabiashara

Unajua kwanini ilivaliwa na watu hawa juu?

sababu ni hii ina muonekaniko wa kipekee yaani UNIQUE design watu hawa walipenda saa ambazo wengine hawana yaani saa ambazo zinazowatofautisha na wengine

Sifa ya saa hii ina mikanda ile ya ngozi original,haipitishi maji,mfuniko wake ni wa material ya metal,mishale yote inafanya kazi

Pia kwetu tunakupatia warranty ya mwaka mzima huna cha kuhofia kupoteza kwa mwaka mzima

Thamani halisi ya saa hii ni Tsh 185,000 tu

kwa siku ya leo city shop inatoa offer kwa Tsh 85,000 tu offer hii ni ya siku moja tu

lipa baada ya kupokea mzigo wako
free delivery mkoani
free delivery dsm

Bonyeza SHOP NOW kuweka order

when you wear a watch how do you feel?comment chini👇
14/08/2021

when you wear a watch how do you feel?

comment chini👇

Bado unaswali lile lile utapataje bidhaa zetu achana na hilo cha kufanya weka order yako tuma details zako ili saa yako ...
05/08/2021

Bado unaswali lile lile utapataje bidhaa zetu

achana na hilo cha kufanya weka order yako tuma details zako ili saa yako ikufikie

sababu tunafanya delivery hadi mikoani na utalipia Ukishapokea saa yako

Mwanza,dodoma,zanzibar,Tanga,mbeya,iringa,Arusha,Mtwara, LIPA UKISHA POKEA

Ifahamu saa ambayo ilivaliwa na watu wa juu miaka ya nyuma...saa tumeipa jina la  SERVICE IN LONDON ilitengenezwa chini ...
04/08/2021

Ifahamu saa ambayo ilivaliwa na watu wa juu
miaka ya nyuma...

saa tumeipa jina la SERVICE IN LONDON ilitengenezwa chini ya brand ya MEGIR

Saa hii kwa wakati huo ili valiwa na watu wajuu sana ilionekana ikivaliwa na Marubani,civil engineer,office managers,millitary officers,ffice staff,doctors,proffesional driver

Unajua kwanini ilivaliwa na watu hawa juu?

sababu ni hii ina muonekaniko wa kipekee yaani UNIQUE design watu hawa walipenda saa ambazo zinaweza kuwatofitsha na wengine

Sifa ya saa hii ina pure leather band,water resistance,case material ni metal,japanese quartz,

one year warranty

Thamani halisi ya saa hii ni Tsh 185,000 tu

kwa siku ya leo city shop inatoa offer kwa watu watatu tu kwa Tsh 85,000 tu

lipa baada ya kupokea mzigo wako
free delivery mkoani
free delivery dsm

Bonyeza SHOP NOW kuweka order

Kikubwa kwetu upate ulichoagiza sio umeagiza saa linakuja kopo aisee😃kwa upande wa saa tunazidi kuwaaminisha city shop n...
04/07/2021

Kikubwa kwetu upate ulichoagiza

sio umeagiza saa linakuja kopo aisee😃

kwa upande wa saa tunazidi kuwaaminisha city shop ni chagua sahiii

tuna hakikisha wateja wanaridhika na huduma yetu k**a umewahi kuhudumiwa na sisi tupia comment
04/07/2021

tuna hakikisha wateja wanaridhika na huduma yetu

k**a umewahi kuhudumiwa na sisi tupia comment

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when City shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share