Siri za Vitabu

Siri za Vitabu Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa.

Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio.

08/09/2026

Lipia Gharama Yote, Epuka Vitu Vya Bure

📍 Siri za Vitabu Bookshop
Dar es Salaam – Mabibo Mwisho/Relini

📞 Call/WhatsApp: 0759 252 658

08/09/2026

Kutoka mapato ya $30 milion hadi projection ya mwaka huu ya $3 Billion kwa MeTL ni ukuaji wa 9,900%.

Hapa hakuna bahati kuna kipaji

📍 Siri za Vitabu Bookshop
Dar es Salaam – Mabibo Mwisho/Relini

📞 Call/WhatsApp: 0759 252 658

07/09/2026

Naingia degree mpya yakumfatilia, kusoma na kumwelewa huyu Mkubwa kwa lengo la kujiboresha mimi lakini pia kushare “Mikakati yake Katika Biashara”

Kwa lugha ya watanzania wengi tuseme “nimjue kinagaubaga nyoka wake”😅

Uzuri ni kwamba materials yapo yakutosha public. Yanahitaji utulivu tu wakuyatafuta, kuyachambua na kufanya synchronisation.

Kitabu bora sana kumuhusu kinakuja. Stay tuned.
Katika Yale makampuni zaidi ya 40, nimepata 20+. Safari inaendelea.

07/09/2026

Hakuna Kisicho na Bei. Jifunze kuitambua na kuilipa hiyo gharama.

📍 Siri za Vitabu Bookshop
Dar es Salaam – Mabibo Mwisho/Relini

📞 Call/WhatsApp: 0759 252 658

07/09/2026

Kila mtu anavuta kamba upande wake: “Huku ndiko kwenye mafanikio.” Pesa ipo huku.

Tatizo ni kusema HUKU PEKEE📌

Mfanyabiashara: biashara ndiyo bora. Mwekezaji wa hisa: huku ndiko salama. Mbeti: weka kidogo, pata nyingi. Trader wa forex: money making machine. Mwekezaji wa crypto: chimbo la hela. Mwajiriwa: huku ndiko kuna usalama.

Ushahidi wa kila mmoja ni nani? Ni yeye. Experience yake.

Tatizo si kushare experience, tatizo ni kuwa na “FIXED MINDSET”, kutengeneza conclusion inayotazama safari yetu pekee. Tunaamini njia yetu ndiyo pekee, na tunakataa uhalisia wa wengine.

Ukweli: mafanikio hayana njia moja, YANA KANUNI ZILEZILE. Biashara, ajira, uwekezaji, taaluma, n.k njia ni tofauti, kanuni zinafanana. Mwalimu bora ni anayefundisha kanuni na kukubali uhalisia wa wote.

Kinachomfaa mmoja si lazima kimfae mwingine. Jifunze mengi, biashara, uwekezaji, risk, pesa, ili kelele za watu zisikuchanganye.

Usiwe mtu wa “huku tu ndiko mafanikio yalipo” Kuwa mtu wa “nitajifunza kila kitu, nielewe risks na opportunities, kisha nichague njia yangu.”

Kumbuka katika kitabu cha The Psychology Of Money cha Morgan Housel anasema kila mtu ana mchoro wake wa fedha/money blueprint. Ambao unamfanya ramani na uelewa wake wa fedha uwe tofauti. Huu mchoro unatokana na malezi na experience ya maisha.

Mchoro wako unaweza kuwa mzuri au mbaya. Muhimu ni kujichunguza na kujinasua. Ifike sehemu ukiwaza hela uwe LOGICAL sio EMOTIONAL.

Anyway…. Yakueleza ni mengi….. niishie hapa.

Good Morning 🌅

06/09/2026

Hasara 3 za Kupokea Vitu Vya Bure | Kwanini Ulipie Gharama Zote?

📍 Siri za Vitabu Bookshop
Dar es Salaam – Mabibo Mwisho/Relini

📞 Call/WhatsApp: 0759 252 658

04/09/2026

📍 Siri za Vitabu Bookshop
Dar es Salaam – Mabibo Mwisho/Relini

📞 Call/WhatsApp: 0759 252 658

04/09/2026

KITABU CHA BIASHARA: Mwongozo wa Kuanzisha, Kuendesha, Kulinda na Kukuxa Biashara
H.H Mfaume

📍 Siri za Vitabu Bookshop
Dar es Salaam – Mabibo Mwisho/Relini

📞 Call/WhatsApp: 0759 252 658

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siri za Vitabu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Siri za Vitabu:

Shortcuts

Share