15/09/2025
KARIBU UFANYE TOPUP DUKANI KWETU KWA GHARAMA NAFUU KABISA
TOP UP NILi kutupatia simu yako ya zamani, pamoja na pesa kidogo tukupatieTOP simu nyingine.
Tunahamisha kila kitu kutoka simu yako ya zamani, kwenda simu nyingi ambayo umenunua Bureee✅
Top up inafanyika kutoka simu yoyote kwenda simu yoyote. Kwa Mfano Mfano
kutoka Infinix/Tecno/Oppo kwenda iPhone
Kutoka iPhone kwenda Samsung
Kutoka Samsung Kwenda iPhone
Kutoka Google Pixel kwenda Google Pixel
Kutoka Google Pixel kwenda iPhone
Au Vyovyote ambavyo wewe unapenda.
Tunapatikana Dar es salaam, Kariakoo mtaa wa ndanda na agrey, Nyuma ya jengo la china plaza, Karibu kabisa na Mgahawa wa Saafi BBQ.
Hata k**a Upo mkoani, Tutumie simu yako na tutahamisha data zako kwa uaminifu kutoka simu yako ya zamani hadi simu mpya Buree.
Pia Huduma ya Malipo ya kidogo kidogo inaruhusiwa kabisa, Utaendelea kukaa na simu yako hadi pale utakapomaliza malipo kisha utaileta dukani, tutahamisha data zote kwenye simu mpya.
Tucheki whatsApp au Tupigie kwa namba +255789578514
"This is a Safe Place"