Chichot spices/viungo

Chichot spices/viungo Chichot spices/viungo ina n**i, nyanya, vitunguu, mafuta, ndimu, tangawizi, vitunguu saumu nk vipo . Tuwasiliane 0766850030 tukuletee Chichot.

Mawakala na wasambazaji karibuni na bei zetu ni sawa na bure.

Kazi kazi kazi
04/12/2024

Kazi kazi kazi

*TANGAZO LA AJIRA* : *Aina ya kazi* : Wahudumu wa Mgahawa *Jinsia* : Mwanamke *Eneo la Kazi* : Kariakoo, Gerezani, Dar e...
04/12/2024

*TANGAZO LA AJIRA* :

*Aina ya kazi* : Wahudumu wa Mgahawa
*Jinsia* : Mwanamke
*Eneo la Kazi* : Kariakoo, Gerezani, Dar es Salaam
*Namba ya mawasiliano* : 0740 328 163
*Jinsi ya kutuma maombi*: Andika ujumbe mfupi wenye jina kamili, na namba yako ya simu nasi tutakupigia
*Mwisho wa Maombi* : Tarehe 08/12/2024

Kituo cha kulea watoto yatima kilichopo mabwe pande dar es salaam kinatafuta wafanyakazi wa kulea watoto na usafi. K**a ...
17/05/2024

Kituo cha kulea watoto yatima kilichopo mabwe pande dar es salaam kinatafuta wafanyakazi wa kulea watoto na usafi. K**a unahitaji ajira tutafute +255766850030. Wafanyakazi wa k**e tu.

KAZI KAZI KAZIWafanyakazi wanahitajika kwenye kituo cha kutoa huduma kwa watoto wahitaji kilichopo Mabwe Pande, Dar es S...
02/01/2024

KAZI KAZI KAZI

Wafanyakazi wanahitajika kwenye kituo cha kutoa huduma kwa watoto wahitaji kilichopo Mabwe Pande, Dar es Salaam.

Kazi zilizopo: Kazi za usafi, bustani, mifugo, kupika na kulea watoto wenye umri chini ya miaka 10.

Jinsia: Wanawake kwa kazi za ndani. Kazi za nje wanaume.

Umri: 23 - 45

Makazi ya mfanyakazi: Ni kazi za shifti mchana au usiku. Lazima awe mkazi wa Dar es Salaam.

Elimu: Darasa la saba kwenda juu

Mshahara: Maelewano

Mawasiliano: Andika jina lako kamili na kazi unayotaka na utume taarifa hizo kwenye meseji au whatsup kwenda namba 0676 586 017. Utapigiwa kwa ajili ya usahili.

Mwisho wa kutuma maombi: Zoezi endelevu

Tangazo limetolewa: 2 January 2024

Amaizing taste amaizing food. 0766 850 030 Oda tukuletee
09/10/2022

Amaizing taste amaizing food.

0766 850 030

Oda tukuletee

AmaizingOrder 0766 850 030
01/10/2022

Amaizing

Order 0766 850 030

Chichot rojo na Chichot spices inapatikana kwenye maduka haya. Wahi sasa
14/09/2022

Chichot rojo na Chichot spices inapatikana kwenye maduka haya. Wahi sasa

  spice mliyoizoea. Bado ipo sokoni wapendwa. Karibuni sana. Inafaa kwa vyakula aina zote. Ni mchanganyiko wa viungo, nd...
13/09/2022

spice mliyoizoea. Bado ipo sokoni wapendwa. Karibuni sana. Inafaa kwa vyakula aina zote. Ni mchanganyiko wa viungo, ndimu, tangawizi, nyanya, vitunguu maji, vitunguu saumu, n**i nk. Vyooote vimesagwa pamoja kua uji mzito. Inafaa kwa kunigesha chakula chochote unachotaka kuweka viungo bila kuhangaika na vibobo kibao. Kijiko kimoja cha spice kina viungo vyote muhimu kaa vyakula vya kiTanzania.

Chichot spice 200gm, jumla tza 2000 (kuanzia 6) reja ni tzs 2500 (chini ya 6)

Chichot spice 350gm, jumla tzs 3200 (kuanzia 6) reja ni tzs 3500 (chini ya 6)

Karibu

0766 850 030

  sasa ipo sokoni.  rojo ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu, ndimu na viungo kwa mbaaaali. Yaani ni mchuzi uliokua taya...
13/09/2022

sasa ipo sokoni.

rojo ni mchanganyiko wa nyanya, vitunguu, ndimu na viungo kwa mbaaaali. Yaani ni mchuzi uliokua tayari kwa chakula wenyewe au kuweka ndani yake nyama, maharage, mboga za majani nk. Mchuzi mziiiitoooo na wenye ladha na harufu ya kuvutia. Unaweza kula ugali, rojo na nyama choma kwa pembeni.

Jipatie leo.

Chichot Rojo 350gm, jumla tzs 2000 (kuanzia 6) reja ni tzs 2500 (chini ya sita).

Karibuni.

0766 850 030

Great day to you  is for you0766 850 030
29/06/2022

Great day to you

is for you

0766 850 030

Surely
16/06/2022

Surely

10/06/2022



0766 850 030

Address

Lui Place Building, Mandela Street, Tabata Dampo Near DCB Bank
Dar Es Salaam

Telephone

+255766850030

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chichot spices/viungo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chichot spices/viungo:

Shortcuts

Share