N U S U B E I

N U S U B E I Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from N U S U B E I, Shopping & retail, Msimbazi Street & Muhonda St, Dar es Salaam.

Mambo ni 🔥🔥🔥🔥Ipo kwa punguzo la bei elfu 40000 tu
21/05/2026

Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

Ipo kwa punguzo la bei elfu 40000 tu

21/05/2026

Kwa elfu 40,000/= unapata gauni nzurii

Ipo kwenye ofa

14/05/2026

📌Sikiliza Faida hapo za kufanya kazi na ili ikurahisishie safari
📌Solution ya ww kupendeza cku yako ya harusi hii hapo amini nakuambia HUTAJUTA 👍🤝🍾🥂
🙏❤️

14/05/2026

🔥🔥🔥🔥🔥🔥Hellow hellow kwa Mahitaji ya shera au nguo za harusi,Kwa mahitaji ya urembo au accessories za harusi ww bibi harusi mtarajiwa unae taka kupendeza na kuwaka k**a malaika siku yako muhimu basi usihangaike mcheki
🔥🔥Ndio kiboko ya maharusi woteee wanaotaka kufurahia siku yao pendwa ❤️❤️❤️
🍾🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂

11/05/2026

Kwa elfu tano tu unapata hiyo crop top

11/05/2026

Silmles taiti high quality

Ina belt pana inabana vizuri nyama za pembeni

Inabana tumbo la chini

Call/whatsup 0747628161

Tunapatikana karikoo mtaa wa muhonda na msimbazi

01/05/2026

Hizi ni njia salama za kutumia hili nguo yako yenye material ya linen

➡️kufua bila kutumia nguvu pia unapo kamua usitumie nguvu

➡️usitumie mashine ya kufuria nguo

➡️ukianika juani isikae kwa mda mrefu

➡️unapo piga pasi akikisha moto wa pas ni mdogo au tumia pasi ya mvuke

➡️karibu tunapatikakana karikoo mtaa wa muhonda na msimbazi

27/04/2026

Muwahi kabla hazijaisha

Elfu 15,000/= kwa bei ya jumla

Call/whatsp 0747628161

Address

Msimbazi Street & Muhonda St
Dar Es Salaam

Telephone

+255747628161

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when N U S U B E I posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to N U S U B E I:

Shortcuts

Share