05/06/2026
Water Pump ni sehemu muhimu ya mfumo wa kupooza injini. Kazi yake ni kusukuma maji ya radiator kuzunguka kwenye injini ili kudhibiti joto na kuzuia overheating.
Kwa kutumia Water Pump ya SACOL, unapata utendaji wa kuaminika, mzunguko mzuri wa maji, na ulinzi wa injini kwa muda mrefu.