Soari online store

Soari online store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Soari online store, Shopping & retail, Kimara, Temboni, Dar es Salaam.

19/05/2026

MIGUU KUA NA GANZI,KUWAKA MOTO,MIGUU KUJAA n.k haya ni matatizo ambayo ni ngumu kuyavumilia na ukijaribu kuyavumilia ndipo yanazidi kua makubwa
Ila kuna suruhisho ambalo linakupa wepesi wa kujitibu ukiwa sehemu yoyote
Ni accupressure sandels viatu maalumu vinavyosaidia
🌹kuondoa changamoto za miguu kuwaka moto
🌹miguu kujaa
🌹kua na ganzi
🌹vinachochea mzunguko wa damu
🌹vinashtua misuli
🌹vinachochea mzunguko wa damu
🌹vinasaidia kupata usingizi
N.k

Hivi ni viatu ambavyo ukivitumia vizuri vitakupa mabadiliko makubwa kwenye mwili wako.

Bei yake ni 45,000
Tupo makumbusho stand Dar es salaam
Tupigie 0658 213 540

Karibu Sana





18/05/2026

MIGUU KUWAKA MOTO, KUA NA GANZI AU KUJAA . Haya ni matatizo ambayo yanaweza kukufanya ukakosa amani kabisa kwasababu kuna wakati hata kutembea inakua ngumu.

Suruhisho ni hivi viatu
Havitumii umeme Vinashtua misuli na kuchochea mzunguko wa damuvinaondoa shida za miguu kua na ganzi Miguu kuwaka moto Miguu kujaa Na shida zinginezo za miguu Pia vinachochea usingizi

Vinapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO DSM
Kwa bei ya sh 45,000 tu

K**a unahitaji tuwasiliane 0658 213 540.

13/05/2026

PRESHA HUWA HAISUMBUI SANA K**A UTAKUA MFATIRIAJI MZURI. Lakini ukikaa bila kujua kinachoendelea hautojua mda gani itapanda au itashuka.
Ukiwa na hiki kifaa itakua rahisi sana kwako kupima presha sehemu yoyote utakayokua. Kinatunza kumbukumbu ni cha kuchaji rahisi kubebeka rahisi kutumia ni kifaa imaramajibu ya uhakika

Utakapo nunua kutoka kwetu tutakuelekeza namna nzuri ya kukitumia ili upate majibu sahihi.

Bei yake ni 45,000 tu
Tupo makumbusho stand Dar es salaam
Karibu Sana 0658 213 540





13/05/2026

Mzani mmoja unakupa uwezo wa kujua uzito wa zaidi ya vitu 16, vilivyo mwilini kwako.

=unapima👇 Uzito wa mwili mzimauzito na asilimia ya mafuta mwilini BMIuzito na kiwango cha maji mwilini Metabolism protein kiwango cha misuli visceral fat- mafuta yanayozunguka organ k**a moyo figo N.k

Unatumiwa na watu wote na unabeba hadi kilo 180.
Bei yake ni 45,000 tu
Unaweza kuitumia hospital au hata nyumbani.

Mizani hii inapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO STAND DAR ES SALAAM.

Karibu Sana 0658 213 540





11/05/2026

GOTI linapopata changamoto mguu mzima huwa na maivu hali inayoweza kupelekea ushindwe kutembea na hata kupata usingizi itakua ngumu.

Ila ukiwa na knee support brace, socks maalumu inayotoa msaada kwenye goti lako Iwe goti limepinda,goti lina maumivu au limevimba.

Pia unaweza kuitumia wakati wa michezo

Inapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO STAND DSM.
Kwa bei ya sh 35,000 kwa goti moja na ukitaka ya magoti yote mawili utapata kwa sh 60,000 badala ya 70,000

Karibu Sana 0658 213 540





05/05/2026

Afya ya Moyo Wako Ndio kila kitu! ❤️

​Usisubiri mpaka ujisikie vibaya. Pata mashine ya kisasa ya kupima shinikizo la damu (BP Monitor) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Ni rahisi, haraka, na sahihi (accurate).

​✅ Inafaa kwa wazee na vijana.
✅ Rahisi kutumia ukiwa peke yako.
✅️inatunza kumbukumbu za Vipimo
✅️ya kuchaji
✅ rahisi kubebeka

​💰 BEI: TSh 45,000/= pekee!
​📍 LOCATION: Makumbusho, Dar es Salaam.
🚚 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
​📞 PIGA/WHATSAPP: 0658 213 540
​Bonyeza kitufe cha "Send Message" hapa chini kuagiza sasa! 👇



03/05/2026

Presha haisubili wala haikupi taarifa inapotaka kupanda au kushuka ,ufatiliaji wako binafsi ndo utakusaidia kukuepusha na hatari zinazoweza kujitokeza ghafra

Ili kukuwezesha kufatilia mwenendo wa presha yako hata unapokua mbali na daktari tumekuletea. DIGITAL BLOOD PRESSURE MONITOR

-Unaitumia ukiwa popote
-inakupa majibu ndani ya sekunde 55
-ni ya kuchaji na inakaa na chaji hadi siku 7
-inatunza kumbukumbu za majibu ya vipimo vyako
-rahisi kubebeka.
-rahisi kutumia

Hakichukui nafasi ya daktari ila kinakupa wepesi wa kufatilia afya yako hata ukiwa mbali na daktari

Tupo makumbusho stand Dar es salaam
Bei yake ni 45,000
Tupigie 0658 213 540

Karibu Sana 🌹



29/04/2026

Kufanya mazoezi ni kitu anachotamani kufanya kila mtu, lakini wengi tunashindwa kwasababu hatuna mda wa kwenda gym pamoja na gharama kua kubwa.

Suruhisho lililobaki ni kua na vifaa nyumbani ufanye kwa mda unaotaka wewe mwenyewe.

SPINNING BIKE ni baiskeli ya kufanyia mazoezi ambayo. Inachukua sehemu ndogo nyumbaniinasaidia kuchoma mafuta harakainaimalisha miguu inaimalisha afya ya akiliinaongeza stamina n.k

Ukiwa na hii hauhitaji trainer maana ni rahisi kutumia

kwa sh 400,000 tu hii baiskel utakua nayo nyumbani utaitumia wakati wowote unaotaka.

Zinapatikana dukani kwetu MAKUMBUSHO STAND DAR ES SALAAM.

Tupigie 0658 213 540

Karibu Sana kwa pamoja tujenge miili yetu♥️



27/04/2026

Uzito mkubwa ni tatizo linaloweza kupelekea mtu kuapata magonjwa mbalimbali k**a vile presha, shambulia la moyo, kisukari n.k

Kuna njia nyingi za kupunguza uzito na kuimalisha mwili wako kwa ujumla ,ila njia kuu ni mazoezi:-

SPINNING BIKE 🤗 Itakupa wepesi wa kufanya mazoezi ukiwa hapo hapo nyumbaniinachukua nafasi ndogo Rahisi kuamishika

Address

Kimara, Temboni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soari online store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share