Bawooba

Bawooba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bawooba, Shopping & retail, Urafiki, Ubungo, Dar es Salaam.

Soko Janja la Kidigitali linalounganisha Wafanyabiashara na Wateja wa Bidhaa mbalimbali kupitia Tovuti na APP Salama na Rafiki kwa Ununuzi Mtandaoni na Huduma mbalimbali Kiganjani Mwako 24x7 bila kikomo.

Sasa tunaagiza bidhaa kutoka wauzaji mbali mbali mtandaoni, wakiwemo Amazon, Ebay, Asos, AliExpress, Etsy, Macys na kadh...
28/10/2022

Sasa tunaagiza bidhaa kutoka wauzaji mbali mbali mtandaoni, wakiwemo Amazon, Ebay, Asos, AliExpress, Etsy, Macys na kadhalika.
Tunahakikisha bidhaa yako inakufikia mpaka ulipo..
We now order products from various online sellers, including Amazon, Ebay, Asos, Aliexpress, Etsy, Macys and etc.
We make sure your product reaches your destination.

Karibu ujipatie punguzo la hadi asilimia 50% la bei za bidhaa zinazopatikana ndani ya bawooba kushehekea urithi wa Mwl. ...
14/10/2022

Karibu ujipatie punguzo la hadi asilimia 50% la bei za bidhaa zinazopatikana ndani ya bawooba kushehekea urithi wa Mwl. Nyerere.

Get upto 50% discount on product prices found in Bawooba celebrating the legacy of Mwl. Nyerere

Tunakutakia Eid Mubarak, endelea kufurahia huduma zetu, punguzo za bei pamoja na ofa mbali mbali katika mtandao wetu..  ...
03/05/2022

Tunakutakia Eid Mubarak, endelea kufurahia huduma zetu, punguzo za bei pamoja na ofa mbali mbali katika mtandao wetu..

We wish you a Happy Muungano Day.
26/04/2022

We wish you a Happy Muungano Day.

22/04/2022

Kwa Nafasi ya Kipekee, Tunawashukuru Nyote kwa Kuendelea Kutufuata kwenye Mitandao yetu ya Kijamii, Kuvinjari na Kununua Bidhaa kupitia Tovuti au App ya BAWOOBA.

Tunapenda muutambue BAWOOBA k**a MLANGO wa FURSA kwetu sote. Tunaposema Mlango wa Fursa Tunamaanisha hivi;👇🏾

1. Kwa Wanunuzi; Kuwatimizia Malengo na Mahitaji kupitia Ununuzi wa Bidhaa zenye Ubora wa Hali ya Juu kwa Gharama Nafuu.

2. Kwa Wauzaji; Kuwaongezea Kipato kupitia Mauzo ya Bidhaa.

3. Kwa Washawishi; Kuwaongezea Kipato kupitia Mauzo ya Bidhaa na Ushawishi wao.

4. Kwa Wasafirishaji; Kuwaongezea Kipato Kutokana na Malipo ya Usafirishaji wa Bidhaa zinazouzwa Ndani ya Bawooba.

5. Kwa Watanzania; Kodi inayotokana na Mauzo ya Bidhaa itakayotumika na Serikali ya JMT kutatua changamoto mbalimbali za Wananchi.

6. BAWOOBA; Kamisheni Ndogo Tu kutoka kwenye Mauzo ya Bidhaa inayosaidia kwenye Uendeshaji wa Kampuni ikiwemo Matangazo, Uboreshaji wa Huduma, n.k.

Karibuni Nyote, Tuendelee Kuijenga na Kuimarisha Bawooba ili Ukawe Mlango BORA, IMARA na MKUBWA wa Fursa Mbalimbali Kwetu Sote.

Tafadhali Endeleeni Kutembelea Tovuti na Ku Pakua App ya Bawooba ili Mfurahie Ununuzi Mtandaoni Popote Mlipo nchini Tanzania 👉🏾https://bawooba.app.link

Pia, Mnakaribishwa Kutufuata kwenye Mitandao yetu ya Kijamii kupitia 👉🏾https://linktr.ee/Bawooba.

Karibuni Sana!📦🚚☺️♥️

♥️
17/04/2022

♥️

Je! Unatamani Kuongeza Kipato Chako kwa kutumia Mtandao? Karibu Tushirikiane Kuuza na Kutangaza Bidhaa Ndani ya Bawooba ...
12/04/2022

Je! Unatamani Kuongeza Kipato Chako kwa kutumia Mtandao? Karibu Tushirikiane Kuuza na Kutangaza Bidhaa Ndani ya Bawooba na Ufaidike kupitia Mauzo na Ushawishi wako.

Ukiwa Mshirika Wetu wa Masoko Unaweza kufanya mambo yafuatayo:
1. Kuchagua na Kutangaza Bidhaa mbalimbali
2. Kutazama Takwimu za Mauzo na Ushawishi wako
3. Kufaidika kupitia Mauzo ya Bidhaa pamoja na Ushawishi wako
4. Kusimamia Mauzo ya Bidhaa yatokanayo na Ushawishi wako

UNAFAIDIKA HIVI👇🏾
1. Kupitia Mauzo ya Bidhaa:
Utalipwa Kamisheni ya hadi 5% kwa kila Bidhaa Itakayouzwa kutokana na Matangazo au Ushawishi wako.
2. Kupitia Ushawishi Wako:
Kila Unique Click = Tshs 40
Kila Regular Click = Tshs 10

Kujisajili ni BURE, Ukishajisajili, Chagua Bidhaa, Tangaza na Ufaidike nasi.

Jisajili 👉🏾https://bawooba.com/affiliate-program/

Kwa Msaada au Maelezo zaidi, Wasiliana nasi 📞0679 455 499 au 📧[email protected]

Karibuni Sana!

24/03/2022

Tunakuletea Bawooba Soko Janja la Kidigitali linalowawezesha na kuwaunganisha Wauzaji na Wanunuzi wa Aina Mbalimbali za Bidhaa nchini Tanzania, Kiganjani Mwako!

Tembelea Tovuti na Pakua App yetu ya Bawooba Sasa kwa ku Bofya Link hii 👉🏾 https://linktr.ee/Bawooba

Ufurahie Ununuzi Mtandaoni na Huduma Mbalimbali "Bure" Mkononi Mwako ndani ya Bawooba Bawooba Sellers Community

Bawooba Inakuwezesha kufanya mambo yafuatayo:

K**a MNUNUZI (MTEJA):
* Kununua Bidhaa
* Kulinganisha Bei
* Kutazama Maagizo Yako
* Kuvinjari Bidhaa mbalimbali
* Kulinganisha Bidhaa zinazofanana
* Kutoa Maoni na Hakiki ya Bidhaa mbalimbali

Bila Kuondoka Eneo lako la Utulivu na Kizuizi cha Muda.

K**a MUUZAJI (MFANYABIASHARA)
* Kuuza Bidhaa
* Kuorodhesha Bidhaa
* Kutazama Mauzo yako
* Kutazama Wateja wako
* Kutazama Miamala yako
* Kuendesha na Kusimamia Biashara yako Kisasa na Kijanja

Yote haya na mengineyo Kiganjani Mwako, Masaa 24 Mwaka Mzima bila Usumbufu Wowote.

K**a MSHAWISHI (INFLUENCER):
* Kufanya Matangazo ya Bidhaa
* Kufaidika kupitia Mauzo ya Bidhaa
* Kutazama Takwimu za Ushwashi wako
* Kusimamia Mauzo ya Bidhaa yanayotokana na Ushwashi wako

Karibu tushirikiane kuvutia Wanunuzi na Ufaidike Nasi.

Wasiliana Nasi kwa Msaada au Maelezo zaidi kupitia Namba: 0679455499 au Barua Pepe: [email protected]

Karibu Sana ♥️🙏🏽

Karibu! Uvinjari na Kununua Aina mbalimbali za Bidhaa Mtandaoni ndani ya Soko Janja la Bawooba na Tukufikishie popote Ul...
23/03/2022

Karibu! Uvinjari na Kununua Aina mbalimbali za Bidhaa Mtandaoni ndani ya Soko Janja la Bawooba na Tukufikishie popote Ulipo Nchini Tanzania.

Mfumo wetu ni Salama na Wauzaji wetu ni Waaminifu wenye bidhaa zenye Ubora wa hali ya Juu.

Tembelea Tovuti na Pakua APP yetu Sasa kupitia Link hii 👉🏾 https://linktr.ee/Bawooba

Ufurahie Ununuzi Mtandaoni na Huduma Mbalimbali "Bure" Mkononi Mwako ndani ya Bawooba

"Tuna nguvu pamoja"Karibu! Uuze bidhaa, Ununue bidhaa na Ufadikie Nasi Mtandaoni kupitia Soko letu la kijanja na kisasa ...
01/03/2022

"Tuna nguvu pamoja"

Karibu! Uuze bidhaa, Ununue bidhaa na Ufadikie Nasi Mtandaoni kupitia Soko letu la kijanja na kisasa la Bawooba nchini Tanzania, Kiganjani Mwako.
Jiunge Nasi Sasa 👉🏾 https://linktr.ee/Bawooba

♥️♥️♥️♥️♥️
14/02/2022

♥️♥️♥️♥️♥️

Wishing you a Happy Valentines Day to you & yours! ♥️♥️♥️Tunawatakia Heri ya Siku ya Wapendanao! ♥️♥️♥️👉🏾 For Sellers (E...
14/02/2022

Wishing you a Happy Valentines Day to you & yours! ♥️♥️♥️

Tunawatakia Heri ya Siku ya Wapendanao! ♥️♥️♥️

👉🏾 For Sellers (Entrepreneurs)
Come Join Us Now to List your products, Sell your products and Manage your shop at your fingertips through Bawooba 👉🏾 https://linktr.ee/Bawooba, Welcome!

👉🏾 Kwa Wauzaji (Wafanyabiashara)
Jiunge Nasi Sasa ili uweze kuorodhesha bidhaa, kuuza bidhaa na kusimamia duka lako kiganjani mwako kupitia Bawooba 👉🏾https://linktr.ee/Bawooba, Karibuni Sana

Address

Urafiki, Ubungo
Dar Es Salaam
16103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bawooba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bawooba:

Share