VANED BOOKS LTD

VANED BOOKS LTD Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VANED BOOKS LTD, Book shop, Kinondoni, Dar es Salaam.

30/03/2024
Ndugu Mzazi/Mlezi/MwalimuTunauza vitabu kwa Darasa la 5-7 (Hisabati, Sayansi, English, Maarifa ya Jamii(Social studies))...
27/10/2023

Ndugu Mzazi/Mlezi/Mwalimu
Tunauza vitabu kwa Darasa la 5-7 (Hisabati, Sayansi, English, Maarifa ya Jamii(Social studies)) ambavyo ni vitabu vya ZIADA.

Kwa gharama ya Tsh 15,000/= tu rejareja, Vitabu vipo kwenye lugha nyepesi ya Kiswahili na Kiingereza na rahisi kwa mtumiaji kuelewa na kujifunza.
Ni vitabu vya ziada vilivyoandaliwa mahsusi kwa Wanafunzi wa darasa la V, VI & VII, pamoja na Walimu wanaofundisha madarasa hayo.
Aidha, vitabu hivi pia vinafaa sana kwa wazazi na walezi wenye tabia ya kufuatilia na kuwasadia Watoto wao kitaaluma.
Vitabu hivi kila mwanafunzi na mwalimu anatakiwa kuwa nacho.

Iwapo kikitumika ipasavyo;
•🔸 Kitamwenzesha mwanafunzi kufanya kwa ufanisi majaribio na mitihani mbalimbali na hatimaye kuweza kufaulu vizuri mtihani wake wa taifa wa kuhitimu elimu ya msingi
•🔸 Kitamwezesha mwalimu kumudu kufundisha somo kwa ufanisi zaidi
•🔸 Kitamwezesha mwanafunzi kuongeza ari ya kujifunza somo
•🔸Kitaboresha ufundishaji wa mwalimu
•🔸Kitawawezesha walimu na wanafunzi kupunguza muda wa kusoma vitabu vingi tofauti tofauti kwa ajili ya kuandaa somo au kujifunza.

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255627529542

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VANED BOOKS LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share