27/09/2025
OPEN EAR Earbuds Sport Wireless
🔹️Zinazokaa vizuri masikioni bila kuanguka, hata ukiwa kwenye mazoezi au safari.
🔹️Zinatoa sauti safi, bass nzuri, na zina mic kwa ajili ya kupiga/kupokea simu.
🔹️Ni nyepesi na zina betri ya kudumu muda mrefu. Zinakuja na kifaa cha kuchaji (charging case) k**a kinavyoonekana kwenye picha ya kwanza.
BEI: TSH 28,000 tu
Tunafanya DELIVERY popote ulipo.
WASILIANA NASI:
0756 906448
AU
0654294008