20/04/2026
Habari wapendwa wateja wetu gigiz tunapenda kuwajuza wateja wetu kwamba kwa sasa utapata maziwa fresh kwa bei ya jumla kabisa
🍶Ambapo utaweza kujipatia
Lita 1 kwa sh. 1800 hasa pale unaponunua kuanzia lita 5 karibu sana
📍Tunapatikana sinza kwa remmy
☎️Tupigie kwa oda zaidi 0766086097
🚛Delivery ipo kwa garama za mteja mwenyewe ama kupitia .tz na msosi app karibuni