Godrich Products,services and General Supplies Company Ltd

Godrich Products,services and General Supplies Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Godrich Products,services and General Supplies Company Ltd, Dar es Salaam.

16/03/2024

Habari za muda wapendwa,Napenda nitoe taarifa kuwa namba yangu ya whatsapp imekuwa hacked, hivyo mkitumiwa sms yoyote mtambue sio mimi..Asanteni sana..

31/03/2020

We are looking for Super dealer if interested please drop your number 0713123995

SPIRO-MLO UNAOTIBUHuu ndio umekuwa mlo wangu wa mchana kwa siku ya leoUnashiba k**a umekula chakula cha kawaidaVIAMBATA ...
09/01/2018

SPIRO-MLO UNAOTIBU

Huu ndio umekuwa mlo wangu wa mchana kwa siku ya leo
Unashiba k**a umekula chakula cha kawaida

VIAMBATA VITATU VILIVYOMO NI
HAWAIIAN SPIRULINA, RICE BRAIN NA OATS

🔥🔥 FAIDA ZA SPIRULINA 🔥🔥
👉 Faida za Spirulina katika Edmark Spiro ni k**a hz zifuatazo

( · ) Inaimarisha kinga ya mwili
( · ) Inasaidia kuipa afya mishipa iliyozunguka moyo wa binadam na kuondoa mafuta
( · ) Inasaidia kuondoa asidi iliyopo tumboni na kuupa afya mfumo wa chakula
( · ) Inasaidia kusafisha tumbo na kuondoa sumu mwili
( · ) Inapunguza ueneaji wa vimelea vya ugonjwa wa kansa

📌 MCHELE ULIOOKWA ( RICE BRAN )
👉 Huu una fibres ( kamba kamba ) zinazosaidia kwa kiasi kikubwa katika kuufanya mwili uweze kunyonya virutubisho vyote muhimu katika chakula ndan ya utumbo

🔥🔥FAIDA ZA MCHELE ULIOOKWA 🔥🔥
👉 Faida zake ni k**a ifuatavyo
( · ) Inasaidia sana kutoa ute laini unaolainisha kuta za tumbo kusiwe na msuguano sana na chakula unachokula
( · ) Inasaidia katika ufyonzwaji wa virutubisho katika mwili kwa kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kaz hiyo
( · ) Inasaidia mtu aweze kupata choo

📌 SHAYIRI AINA YA NGANO
👉 Hii inasaidia katika uondoaji wa lehemu mbaya
👉 Kazi yake katika kuondoa lehemu mbaya ni kwanza inafanya mchakatuo na ile lehemu mbaya zinapoungana hapo ndipo ule muunganiko mwili utautoa kwa kufanya mekanism yake

BOX MOJA UTALIPATA KWA TSH 40,000 TU

BUBBLE C - Orange DrinkMADE FROM REAL ORANGESWhy do we need Vitamin C? Everybody needs Vitamin C! From young growing ac...
06/11/2017

BUBBLE C - Orange Drink
MADE FROM REAL ORANGES


Why do we need Vitamin C?

Everybody needs Vitamin C! From young growing active kids, to people who are over 50 years old. Vitamin C is a water-soluble antioxidant vitamin. It is important in forming collagen, a protein that gives structure to bones, cartilage, muscle, blood vessels and skin.

Certain fruits and vegetables like oranges, broccoli, spinach, berries, and watermelon are rich sources of Vitamin C. The recommended amount of Vitamin C for most people is 60 mg per day. Since our bodies do not make its own Vitamin C, we need at least one serving of fruit daily. To ensure that you get enough Vitamin C everyday, we recommend Bubble C!

HEALTH BENEFITS:
LOADED WITH VITAMIN C - Helps increase the bodys natural collagen production which enhances skin complexion and protects hair from damage. Aids in better iron and nutrient absorption by the body.
Regenerates anti-oxidants like Vitamin E thus preventing cancer and heart disease.

FORTIFIED WITH CALCIUM - Energizes the body by boosting metabolism to aid in slimming. Helps in forming bones, teeth, and muscles, and in repairing blood vessels and connective tissues.

MADE OF REAL ORANGES - Bubble C is made of natural spray-dried orange juice concentrate so it can boost the immune system to fight colds and infection.

ENHANCED NATURAL COLORING - The orange color of Bubble C is enhanced with natural coloring from Carotene, the pigment that gives carrots its bright orange color!

SAFE-FOR-ALL SWEETENER - Sweetened by natural fructose. Safe for those with diabetes because it does not raise blood sugar levels.

BENEFITS OF BUBBLE C:
- Boosts the immune system.
- Fights colds and infection.
- Helps form bones, teeth, and
muscles.
- Helps repair blood vessels and
connective tissues.
- Energizes the body by boosting
metabolism.
- Stimulates brain functions.
- Aids in iron and protein
absorption.
- Fuels the body's collagen
production.
- Protects skin and hair from
damage.
- Makes healing of wounds faster.
- Prevents scurvy.
- Prevents cancer and heart
disease.
- Regenerates anti oxidants like
Vitamin E

Ondoa maumivu ya aina yoyote MWILI
01/11/2017

Ondoa maumivu ya aina yoyote MWILI

MWANAMKE NA UREMBOJanga kubwa lililopo ktk sekta ya urembo sasa ni Michirizi (stretch mark)ChunusiNgozi kupauka na kukos...
30/10/2017

MWANAMKE NA UREMBO

Janga kubwa lililopo ktk sekta ya urembo sasa ni
Michirizi (stretch mark)
Chunusi
Ngozi kupauka na kukosa mng'ao
Alama nyeusi katika mzunguko wa macho
Ngozi kutepeta (loose skin) n.k

Leo na kuletea kinywaji cha EDMARK chenye ladha ya CHOCOLATE kiitwacho COCOLLAGEN

KAZI YAKE

Kuongeza na kurudisha ngundi (collagen) ya mwili
Kuondoa michirizi na mipasuko ya Ngozi (STRETCH MACK)
Kuondoa maduara au sugu nyeusi katika macho
Kukaza Ngozi na kuifanya isitepete
Kuongeza ute ukeni kwa wenye tatizo la kuchubuka wakati wa tendo la ndoa
Sambamba na kubana uke na mashavu ya ukeni kwa wale walioathirika ama kwa uzazi au changamoto yoyote
Kutengeneza pingili 6 (sixpack) kwa wafanya mazoezi kwa sababu inaprotin yakutosha.Jipatie yako
TSH 40,000 tucheki 0713123995/0653299934

REKEBISHA MFUMO WA HORMONES ZOTE ZA MWILI KWA NJIA YA ASILI Kuzeeka kwa mwanadamu kunasababishwa na uwezo wa mwili kuzal...
26/10/2017

REKEBISHA MFUMO WA HORMONES ZOTE ZA MWILI KWA NJIA YA ASILI
Kuzeeka kwa mwanadamu kunasababishwa na uwezo wa mwili kuzalisha hormone iitwayo HUMAN GROWTH HORMONE (HGH) ikiwa ndio hormone kuu mwilini inayofanya kazi mbali mbali k**a kukuza cell, metabolism na reproductive process. Umri unavyozidi kwenda ndivyo mwili unavyoshindwa kuzalisha kwa wingi hormone hii na kupelekea matokeo kwenye ngozi kuanza kukunjamana hasa ngozi ya uso, kushuka kwa kinga ya mwili, upungufu wa kumbukumbu, upunguvu wa nguvu za kukutana kimwili

Wataalamu wamethibitisha kwamba mwili wa wa mwanadamu ukizalisha kwa wingi hormone hii ya HGH inasaidia mwili pamoja na viongo vyake kutokuzeeka

Bio Elixir imethibitishwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuusaidia mwili kuzalisha aina hii ya hormone na kuondoa uzee na aina zote za makunyanzi

Bio elixir ni bidhaa iliyotengenezwa kihalisia (naturally) haina kemikali wala madhara ya aina yoyote na inasaidia kutokuzeeka na zaidi kuwa na ngozi nadhifu

Bio elixir ni mchanganyiko wa soya, arginine, glutamine, leucine na vitamin B5

Faida za kutumia Bio Elixir
1) Inasaidia kupunguza uzito bila hata ya kufanya diet kwa sababu inaenda kuondoa mafuta yaliyojilimbikiza na ambayo mwili hauyahitaji mwilimi
2) Inaupa mwili nguvu
3) Inaongeza hamu ya tendo la ndoa na kurutubisha mbegu za kiume na kuzipa nguvu
4) Inaongeza ufanyaji kazi wa ini, figo, moyo na kusaidia organs hizi kutokuzeeka kwanj umri unavyozidi kwenda na organs hizi zinazidi kuzeeka na kupunguza utendaji kazi
5) Inaongeza /inapandisha kinga ya mwili
6) Inaondoa cholesterol
7) Inarutubisha mifupa
8) Inaondoa makunyanzi usoni (wrinkles)
9) Inaongeza uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu
10) Inasaidia macho kuona vizuri zaidi
11) Inasaidia ngozi yako kuwa nyororo na nadhifu
12) Inasaidia kurutubisha mayai na kumwezesha mwanamke kubeba mimba kirahisi

Kemea uzee kwa kutumia Bio Elixir na fanya mwili wako kutenda kazi k**a mtoto wa miaka 18

SAFISHA UTUMBO MPANA EPUKA MAGONJWA YA MFUMO WA CHAKULAWatu wengi tutafanya usafi wa nje na kuwa na mwonekano mzuri nje ...
25/10/2017

SAFISHA UTUMBO MPANA EPUKA MAGONJWA YA MFUMO WA CHAKULA
Watu wengi tutafanya usafi wa nje na kuwa na mwonekano mzuri nje lakini mfumo wako wa chakula una matatizo.Kwa kifupi MAGONJWA tabia yote chanzo kikubwa ni tumboni.Waswahili wanasema "you are what you eat".Kiafya inatakiwa upate Choo Mara tatu Kwa siku,k**a haupati uko kwenye hatari ya kupata MAGONJWA tabia.Jizoeshe Kula fiber Kwa wingi ili kuepuka kutopata choo

Tumbo la binadamu linayo aina mbili za utumbo utumbo mwembamba na utumbo mpana
Kazi ya utumbo mwembamba ni kufyonza/kumengenya virutubisho kwenye vyakula tunavyokula na kazi ya utumbo mpana ni kuondoa maji kwenye vyakula ambavyo havikusagwa na kuondoa uchafu tumboni
Utumbo mpana unavyoshindwa kufanya kazi yake madhara makubwa yanayojitokeza ni magonjwa mbali mbali kuanza kuushambulia mwili k**a cancer, kisukari, magonjwa ya moyo, kutokupata choo au kupata choo kigumu magonjwa ya ini na figo na mengineyo

Ili kuondokana na madhara haya tunakuletea shake off phyto fiber ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa plan fiber, roselle, oats, garcinia cambogia na Inulin

Faida zinazopatikana na kutumia shake off phyto fiber
1) inazuia cansa
Shake off inasaidia kwenda kuondoa sumu kwenye mwili na kusafisha utumbo mpana hivyo mazalia ya backeria wabaya hayatakuwepo na uchafu utaondolewa kwa wakati na kuzuia cancer hasa colon cancer

2) Inasaidia kuondoa constipation
Shake off inafiber inayosaidia kukua kwa bacteria wazuri wanaozalisha lactic acid na acetic acid na carbonic acid gas ambayo inasaidia kusukuma uchafu tumboni kwa wakati

3) inapunguza uzito uliozidi
Shake off inasaidia kuondoa hamu ya chakula na kuondoa mafuta ambayo hayahitajiki mwilinj

4) inasaudia kubalance cholesterol mwilini
Unaondoa mafuta kwenye damu

5) inawasaidia wenye kisukari

6) inasaida wenye matatizo ya ngozi chunusi fungus mapele na magonjwa mengine ya ngozi na kusaidia ngozi yako kurudia uzuri wake

Ni nzuri kwa
- wanaotaka kupunguza uzito na nyama uzembe
- Wenye matatizo ya kupata choo na vinyama kwenye njia ya haja kubwa
- Wenye vidonda vya tumbo na matatizo yote ya tumbo
- Wenye matatizo ya ngozi
- Wanaotaka kuondoa sumu mwilini
- Wenye kupatwa na uchovu mara kwa mara/ mwili kuchokachoka ovyo

CAFE  73Kahawa nyingi tunazotumia zina caffeine na acidic nyingi ambayo sio nzuri sana kwa afya ya mwanadamu zinampeleke...
23/10/2017

CAFE 73

Kahawa nyingi tunazotumia zina caffeine na acidic nyingi ambayo sio nzuri sana kwa afya ya mwanadamu zinampelekea kuishiwa kwa maji mwilini na kupelekea presha kupanda

Cafe 73
Ni kahawa inayotengenezwa kwa asilia isiyokuwa na caffeine, imetengenezwa kwa ganodema ambayo inafaida lukuki kwenye mwili wa mwanadamu

Faida za cafe 73
• Haina sukari na bado ina ladha nzuri ukiitumia
• Inaongeza kinga ya mwili
• Inapunguza kiwango cha sukari kwenye damu
• Inasaidia kuupa mwili oxgen na kusawazisha PH ya mwili
• Inasaidia mzunguko wa damu kuwa mzuri na kuzalisha cell
• Inasaidia kuongeza kumbukumbu
• Inapunguza presha
• Inaongeza nguvu za tendo la ndoa na kuongeza msisimko
• Inaondoa allergy miwasho na mauvimbe
• Inasaidia kupata usingizi mzuri
• Inaondoa makunyanzi kwenye ngozi hasa usoni (inapambana na uzee)

Inafaa kwa watu wote ambao wanapenda kunywa kahawa na pia hasa kwa
• Wenye kisukari
• Wenye presha
• Wenye shida za kumbukumbu
• Wenye shida kwenye tendo la ndoa
• Kwa wafanyakazi wanaokaa sehemu moja
• Ni nzuri kwa matumizi ya kila siku
• Ni nzuri kwa watu wenye allergy
• Ni nzuri kwa watu ambao wanashindwa kulala vizuri usiku
• Ni nzuri kwa wanopenda kuonekana vijana na kuwa na ngozi nadhifu

Jinsi ya kutumia
Chukua maji mls150 ya moto unaweka sachet moja unakoroga vizuri unakunywa

Kahawa hii itakufanya ujisikie fresh na active mchana kutwa

Zinapatikana kwa jumla na rejareja
Wasiliana nasi 0713123995/0622489130/0653299934 Kwa maelezo Zaidi

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Godrich Products,services and General Supplies Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share