Budget Clothing

Budget Clothing Duka la mtandaoni la bidhaa za mavazi litakujia hivi karibuni na litakuwa la kipekee kwa Tanzania to Endelea lkutembelea page yetu

An online shop for clothing (Duka la mavazi la kwenye mtandao) Coming soon!!! / Litakuja hivi karibuni !!

Umeshawahi kununua bidhaa kupitia Facebook, Instagram au Website? Ni njia gani kati ya hizi unazipendelea kwenye malipo?...
18/07/2016

Umeshawahi kununua bidhaa kupitia Facebook, Instagram au Website? Ni njia gani kati ya hizi unazipendelea kwenye malipo? 1. Cash baada ya kupokea mzigo.
2. Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa.
3. Visa au Mastercard Debit/Credit.
4. Kuhamisha kupitia benki
Dondosha comment hapo chini ukichagua namba...

Umeshawahi kununua bidhaa kupitia Facebook, Instagram au Website? Ni njia gani kati ya hizi unazipendelea kwenye malipo?...
18/07/2016

Umeshawahi kununua bidhaa kupitia Facebook, Instagram au Website? Ni njia gani kati ya hizi unazipendelea kwenye malipo?
1. Cash baada ya kupokea mzigo.
2. Tigo Pesa, Airtel Money, Halo Pesa,
3. Visa au Mastercard Debit/Credit.
4. Transfer ya benki.
Dondosha comment kwa kuandika nmba 1, aau 2, au 4 hapo chini...

Je umewahi kutumia mitandao k**a Facebook, Instagram, au website kwa kuagizia bidhaa k**a nguo, saa, viatu na kadhalika ...
15/07/2016

Je umewahi kutumia mitandao k**a Facebook, Instagram, au website kwa kuagizia bidhaa k**a nguo, saa, viatu na kadhalika kutoka kwa wajasiriamali wa Tanzania? K**a ni ndiyo basi elezea kitu gani unakipenda na kitu hukipendi katika biashara hizo kwa kudondosha comment hapo chini?

Tunakusanya maoni kuhusu uzoefu wako katika kutumia huduma za kununua vitu kwenye mtandao. Mfano ni vitu gani unavifurahia, na vitu vipi ambavyo ni kikwazo na kadhalika. Ukijaza fomu yetu utakuwa umetusaidia sisi na pia sisi tutaweza kuangalia ni namna gani tutatengeneza mtandao ambao utawanufais

Jishindie muda wa maongezi wa shilingi elfu mbili (2000) taslimu  kwa kutumia muda wako wa dakika tano tu kutoa maoni ya...
15/07/2016

Jishindie muda wa maongezi wa shilingi elfu mbili (2000) taslimu kwa kutumia muda wako wa dakika tano tu kutoa maoni yako kwa kubonyeza link ifuatayo hapo chini. Wahi sasa ili ushiriki kwenye draw hii maalumu . Muda umebaki ni mchache. Watu ishirini na tano watabahatika kujishindia shilingi 2000 kila mmoja.

14/07/2016

Coming soon.. An affordable and reliable shop for online clothing

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Budget Clothing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share