FeyFah Cosmetics

FeyFah Cosmetics FeyFah cosmetics wauzaji wa vipodozi na bidhaa za asili za ngozi FEYFAH PRODUCTS
https://chat.whatsapp.com/L6JAc1LjCeRJaZMkytdpYd

Hellow mpendwa wangu naomba nipigie kura niweze kuwa mshindi  Link nii hii hapa ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja uta...
06/06/2026

Hellow mpendwa wangu naomba nipigie kura niweze kuwa mshindi
Link nii hii hapa ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja utachagua jina SALMA SULEIMAN BEST COSMETICS.
KISHA UKISHAPIGA KURA UTASHUKA CHINI UTAWASILISHA KURA YAKO ASANTE SANA
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSeMPeIngLIz3meOgrywxHUmMJKQmVUn9iQAZj2rYlYtpqLAyw/viewform?fbzx=-2615392482017843322&utm_source=ig&utm_medium=social&utm_content=link_in_bio&fbclid=PAZXh0bgNhZW0CMTEAc3J0YwZhcHBfaWQPNTY3MDY3MzQzMzUyNDI3AAGneEQgKe2IAe7d9BxTdENOUOjgeKb7iq8-nMCE3De3KTedzXpAhILHPOhD4qU_aem_JsncnCF1LshfyEsc5O3VSQ

UMEWAHI KUJIULIZA KWANINI USO NI MWEUSI KULIKO TUMBO AU MAPAJA?💚 Maeneo yasiyopigwa na jua mara kwa mara k**a tumbo, map...
06/06/2026

UMEWAHI KUJIULIZA KWANINI USO NI MWEUSI KULIKO TUMBO AU MAPAJA?
💚 Maeneo yasiyopigwa na jua mara kwa mara k**a tumbo, mapaja ya ndani na matiti huwa mepesi kuliko uso, mikono na miguu.

💚 Msuguano wa ngozi kwenye maeneo k**a mapaja, kwapa na shingo unaweza kusababisha kuwa na rangi nyeusi zaidi.mapaja yaliyoshikana husababisha msuguano na kupelekea kuwa meusi zaidi ya sehem zingine za mwili

💚 Mabadiliko ya homoni yanaweza kuathiri uzalishaji wa rangi ya ngozi (melanin).
💚 Madoa yanayotokana na chunusi, michubuko au muwasho yanaweza kufanya baadhi ya maeneo yaonekane meusi zaidi.

💚Kurithi kutoka kwa wazazi pia kunaweza kuchangia kuwa na tofauti za rangi mwilini. Hapa tuongelee hasaa wazaz wawili wenye rangi tofauti kuna mawili uwe mweupe mwili mzima au uoate rangi 2 za wazaz wako wote wenye rangi tofauti .na hii ndio wengi sana tuko hivyo.

Tabasamu moja linaweza kubadilisha siku nzima. Leo nachagua kutabasamu tu. 😊🌸
01/06/2026

Tabasamu moja linaweza kubadilisha siku nzima. Leo nachagua kutabasamu tu. 😊🌸

02/05/2026

゚viralシfypシ゚viralシalシ

29/04/2026

゚viralシfypシ゚viralシalシ # #

28/04/2026

Elfu 35000 tu

21/04/2026

Kiufupi vipodozi vikali haviendani wala.kupatana na jua

Serum ya feyfah ni serum.nzuri sana kwa uso unaosumbuliwa na chunusi madoa Rangi isiokaa sawa Wekundu usoni Mafuta na uk...
20/04/2026

Serum ya feyfah ni serum.nzuri sana kwa uso unaosumbuliwa na chunusi madoa
Rangi isiokaa sawa
Wekundu usoni
Mafuta na ukavu sana wa ngozi
Serum hii haichubui
Inaleta unyevunyevu sababu ya hyaluronic acid
Inatumika kwa jinsia zote
Bei 15000
0684117445

17/04/2026

Slim tea 15000 jumla 20000 reja 0684117445Rozana
16/04/2026

Slim tea 15000 jumla
20000 reja
0684117445
Rozana

Address

Dar
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FeyFah Cosmetics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share