Vyombo home store

Vyombo home store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Vyombo home store, Agrey na Livingstone, Dar es Salaam.

Jiko la umeme linatumia umeme kidogo sana ๐Ÿ‘Œ
30/09/2025

Jiko la umeme linatumia umeme kidogo sana ๐Ÿ‘Œ

28/09/2025

Bado ujapata hii pika ugali inapika kg 1 na nusu ushindwe wewe ndugu mteja wangu

Mteja wangu chupa zote  azipozi kabisa wewe njoo uchukue ukajaribishe kwanza๐Ÿ˜Š๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘Œ
26/09/2025

Mteja wangu chupa zote azipozi kabisa wewe njoo uchukue ukajaribishe kwanza๐Ÿ˜Š๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘Œ

Mashine ya kukatia chips eeee inatoa size nzuri inafaa kwa wauza chips ma hotelin mteja inatumia mkono eee mkono wako tu...
25/09/2025

Mashine ya kukatia chips eeee inatoa size nzuri inafaa kwa wauza chips ma hotelin mteja inatumia mkono eee mkono wako tu na nirahisi inaharakisha sana

Mteja njoo uchukue Hot pot Yako jameni Mimi nimeisha kuletea Tanzania wewe fata tu au nikutumie uliko kwa sh 85,000 tu
24/09/2025

Mteja njoo uchukue Hot pot Yako jameni Mimi nimeisha kuletea Tanzania wewe fata tu au nikutumie uliko kwa sh 85,000 tu

Glass nzuri sana
23/09/2025

Glass nzuri sana

Tunauza balo za nguo za watoto na pia tunauza kwa reja reja kwa wale wasio na uwezo wa kununua balo zima nicheki kupitia...
27/08/2025

Tunauza balo za nguo za watoto na pia tunauza kwa reja reja kwa wale wasio na uwezo wa kununua balo zima nicheki kupitia Whatsapp number..+255 782 334 017 tuko Dar es salaam Goba rastanza... Popote ulipo unapata nguo

OFA OFA OFA OFA.. tupigie +255 782 334 017Tunatoa bizaa zetu kwa ofaa kabambe ni wewe kuwahi chapu usiikose hii Babu kub...
13/08/2024

OFA OFA OFA OFA.. tupigie +255 782 334 017

Tunatoa bizaa zetu kwa ofaa kabambe ni wewe kuwahi chapu usiikose hii Babu kubwa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

-Dinner set pc 50 nzuri balaa udongo usio pasuka kwa haraka Made in India.
badala ya TSH 195,000 utaipata kwa Sh 175,000

-Hivyo vijiko set yote tutakupa kwa Sh 55,000 Gold yake aitoki

-Sufuria za CHEF pc6 unaipata kwa ofa ya sh 265,000 ni nzito sana kubwa Inapika kilo 4.

-Set ya Miko ya srikoni Ina visu 5, mkasi, and mix, cartingbod, vyote sh 75,000

- Set ya sufuria za Gold ofa ya sh 155,000

-Set ya sufuria nyeusi Ofa yake ni 155,000

*Tunapatikana kariakoo mtaa wa Livingston, tupigie simu +255 782 334 017

*Mikoani tunatuma ukipokea mzigo wako ndio unalipia hela

*Dar es salaam unaletewa ulipo dervary inategemea na umbali ulipo.

Tupigie simu 0782 334 017
Whatsapp number +255 782 334 017

Popote wateja wetu tunawatumia bidhaa zenu  swala la huwaminifu lipo maana mikoani unalipia bidhaa baada ya kupokea mzig...
30/06/2024

Popote wateja wetu tunawatumia bidhaa zenu swala la huwaminifu lipo maana mikoani unalipia bidhaa baada ya kupokea mzigo wako dar es salaam pia unaletewa ulipo ndipo unalipia Yani ni wewe ushindwe tu Whatsapp number +255 782 334 017

Hii set ukiwa na shuhuri arafu ukatumia hii kitu aise unaenjoy aise ni nzuri sana +255 782 334 017
29/06/2024

Hii set ukiwa na shuhuri arafu ukatumia hii kitu aise unaenjoy aise ni nzuri sana +255 782 334 017

Dinner set zipo nyingi sana karibu Whatsapp group letu ujionee zaidi vyombo vizuri +255 782 334 017
29/06/2024

Dinner set zipo nyingi sana karibu Whatsapp group letu ujionee zaidi vyombo vizuri +255 782 334 017

Address

Agrey Na Livingstone
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vyombo home store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vyombo home store:

Share