Rey Chuwa

Rey Chuwa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rey Chuwa, Book shop, 0715811827, Dar es Salaam.

12/01/2026
17/04/2023

Sio kila Mtu anayeondoka kwenye Maisha YAKO ni HASARA:

_____1 ). Kuna wengine Inawabidi waondoke ili uanze kujitambua na kujiamini katika maisha.

Kuna watu unaweza kujikuta unawategemea sana...
..hadi unapoteza uwezo wako wa kusimama mwenyewe.

2 ). Kuna wengine wanaondoka ili watengeneze nafasi ya watu wengine unaowahitaji kwa wakati huo waje.

Kuna watu ukiendelea kukaa nao ni kizuizi...
..kwa wengine kuja kwenye Maisha Yako.

3 ). Kuna ambao wanaondoka kwa sababu Muda wao na jukumu lililowaleta kwenye MAISHA YAKO limeshaisha.

Watu wa namna hii ukiendelea kuwalazimisha kubakia...
..mtakuja kuachana kwa magomvi mengi sana na mtachukiana baada ya hapo.

4 ). Kuna wengine wanaondoka ili wakusaidie uanze kufanya maamuzi sahihi.

Maamuzi ambayo umekuwa unaghairisha kwa sababu ya kuwaogopa...
..ama kwa sababu ushawishi wao umekupelekea kufanya wanachokiamini wao na sio kile unachokiamini wewe.

Tafadhali naomba nisaidie kushare na mtu mmoja.

K**a mimi nilivyoshare na wewe.

Ahsante kwa kuwa utashare.

Muda wowote ukiwa tayari kujifunza kwa kina kutoka kwangu Bofya hapa
>>> linktr.ee/JoelNanauka

Au Bofya link ya BLUE kwenye BIO yangu.

See You At The Top

Joel Arthur Nanauka

Address

0715811827
Dar Es Salaam
1212

Telephone

+255 676 422 896

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rey Chuwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category