05/06/2026
Hakuna kinachopendeza k**a kuona mteja aking’ara ndani ya kazi yetu. 💚✨
Asante kwa kutuamini
Sisi k**a Naysra Design hatushoni tu nguo, tunakupa Kujiamini🔥 Umaridadi bila kutumia nguvu🤩
Tunadesign na kushona nguo kwa ustadi na ubunifu wa hali ya juu
Karibuni
TUNAPATIKANA MWENGE BARABARA YA TRA
DM/ TUPIGIE 0716 505 256