Mudrik agiza importers

Mudrik agiza importers tunakuagizia kitu chochote unachokitaka kutoka popote duniani , kwa usalama wa pesa zako na kukuhakikishia ubora wa bidhaa yako.

Tunakuagizia bidhaa kutoka nchi tofauti k**a china ,Marekani,Dubai,uingereza, india na Japan, gharama tunaokupa zinajumuisha kila kitu kuanzia manunuzi usafiri pamoja na ushuru.

23/08/2026

Maelezo kuhusiana na condition ya open box k**a unataka kuagiza bidhaa umeiona condition yake imeandikwa open box alafu haujui ndio inakuaje Tizama video hii hadi mwisho.

Sony fx3 , Canon eos R , Blackmagic 6k pro camera , Dji air 2s /3s drone Tanzania .

Tutumie message whatsapp 0656023523.

23/08/2026

Kuna baadhi ya bidhaa tunakuepo nazo hapa hapa unaweka oda nakuzipokea leo leo , au unaweza kuja ofisini kwetu nakuzichukua nakulipia apo , pia kuna baadh ya bidhaa unaweza kuweka oda bila yakulipia chochote nazikifika unaletewa ulipo . Tutakahakikisha tu vitu vichache kutoka kwako natutakuletea bila ya wewe kulipa kitu chochote.
Kile kuagiza bidhaa hizi tulizoziweka apo tutumie tu message whatsapp nascreenshot ya picha au fata maelekezo yakwenye video. Namba yetu ya whatsapp ni 0656 023 523.

20/08/2026

Sikuamini kua bado utapeli huu upo , umenikumbusha mbali sana dah tangu 2015 kipindi mutandao ya kijamii ndio kwanza inaanza kutrend , hadi leo bado inaendelea na jamaa wanadunda.
Kuagiza bidhaa kutoka nchi na mitandao tofauti tutumie kwa whatsapp 0656023523.

16/08/2026

Tumia graph iyo kujua memory card ipi itakufaa kwa camera unayotaka kuchukua , ukichukua memory card yenye speed ndogo nawewe unatumia camera kubwa inayoshoot 4k au zaidi unailimit camera yako nakuweza kusababisha damage kwenye memory card yako na ata camera kuganda muda mwengine.

15/08/2026

Inasemekana kua meta wanataka kuunganisha database yao ili watumiaji wa miwani hii waweze kumjua mtu account yake ya instagram na facebook kwakumtizama sura yake tu , iyo ishu bado haijawa officially confirmed lakini kuna vyanzo vingi vinasema inaweza wakaproceed nayo .
K**a unahitaji smart Glasses za brand tofauti k**a Evenrealities , Meta , Xiaomi na Brand zakichina tutumie message whatsapp tukuchekie . 0656 023 523.

11/08/2026

Moja kati ya vitu watu wanavyojichanganya ni neno made in china kulihusisha na fake product bila yakujua bidhaa 80% za duniani kote zinazalishwa china . Ni njia sahihi tu utayotumia kuziagiza bidhaa izo nakuelewa jinsi gani soko la dunia linafanya kazi ili usipotee kwa propaganda na uwe na uhakika wa bidhaa unayonunua .
Ukihitaji kuagiza bidhaa kutoka china , tutafute kwa uhakika wakupokea mzigo wako na usalama wa pesa zako.
Whatsapp 0656023523.

03/08/2026

Atm card yangu Sina mukitaka kufanya malipo musinitumie kwa nmb kwa sasa sijaweza kuiaccess account yangu tangu alhamisi iliyopita ,

Oda yako ilipie kwa tigo pesa au crdb kwa sasa . Hadi watakapokua sawa hawa jamaa.

26/07/2026

Au ni mimi tu ninaeona hichi kitu?
Kuna a very strong psychological reason behind it ukifwatilia ,
Nik**a vile ukiona mtu anapost sana meme kuhusu mada flani ujue icho kitu kipo mawazoni mwake sana .
Najua wengine wanafanya just kwasababu content izo zina engangement kubwa lakini , kwasababu hii mwisho wa siku lazima watu wataelekea wenzetu walipofikia kua na fake bussiness au kutengeneza mahusiano ya uongo kwa ajil tu ya mtandao , iyo ndio stage waliyopo watu wa nchi k**a marekani kwa sasa. ila ni mawazo tu.

24/07/2026

Mashine hii kwa sasa hadi unaipokea Tanzania ni tsh 5,500,000/= , kwa ambayo ina watts 1500w
Inachukua siku 30 hadi 45.

Hii ni mashine yakupigia kazi k**a tayari unajishuhulisha na kazi zinazodili na material za vyuma.
Tutumie whatsapp kuja namba 0656023523.

Address

Ilala Bungoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mudrik agiza importers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mudrik agiza importers:

Shortcuts

Share