Aimée online stores

Aimée online stores Dealers in home decors,wholesale &retail| location: Kariakoo Sikukuu street|delivery free within Dar es salaam,payment on delivery

01/08/2026

✨ Kitchen upgrade done right!

Zebra Blinds za kisasa zimekamilisha muonekano wa jiko la mteja wetu. 🩶

Ubora unaoonekana, huduma inayodumu.

📍Tunafika site kwa vipimo na ushauri,kulingana na mahitaji yako huku tukizingatia ubora wa bidhaa na kujali muda wako.

📲 mawasiliano: whatsapp 0659894808

Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam- mtaa wa Aggrey & sikukuu.

Karibuni….

✨ Another successful installation! ✨Tumefurahia kukamilisha ufungaji wa Zebra Blinds kwenye ofisi za mteja wetu Black Pa...
30/07/2026

✨ Another successful installation! ✨

Tumefurahia kukamilisha ufungaji wa Zebra Blinds kwenye ofisi za mteja wetu Black Panther Transport Services.

Asanteni kwa kutuamini. Tunajivunia kuendelea kutoa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu zinazoongeza uzuri, faragha na mwonekano wa kisasa kwenye kila ofisi na nyumba.

Wasiliana nasi: whatsapp 0659894808

Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam- mtaa wa Aggrey & Sikukuu.

📍 Tunafika site kwa ajili ya vipimo na ushauri.

Karibuni….

30/07/2026

✨ Elevate your space with premium Aluminium Curtain Rods! ✨

Muonekano wa pazia huanza na bomba bora. Chagua bomba zetu za aluminium zenye uimara wa hali ya juu, hazishiki kutu kwa urahisi, na zina finishing ya kisasa inayoongeza mvuto kwenye kila chumba.

💯 Zinafaa kwa nyumba, ofisi, hoteli na maeneo ya biashara.

💰 Bei: TSh 20,000 kwa kila metre 1 ya upana.

Tunakuletea huduma kamili:
📍 Tunafika site kwa ajili ya vipimo.

📝 Tunatoa ushauri kulingana na mahitaji yako.

🔧 Tunafanya installation kwa umakini na ubora unaodumu.

Mawasiliano : whatsapp 0659894808

Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam- mtaa wa Aggrey & Sikukuu..

29/07/2026

TUZUNGUMZE RANGI….

Rangi ya leo: GREY

🩶 Grey: The Perfect Match for Every Space.

Rangi ya grey ni mojawapo ya rangi zinazopendwa sana kwenye pazia kwa sababu ya uwezo wake wa kuendana na mitindo mingi ya mapambo ya ndani.

* Inablend kwa urahisi na rangi nyingi za ukuta k**a vile white, cream, beige, off-white, black, navy blue, green, na hata earthy tones k**a brown.

* Ina-offer neutrality, yaani haitawali mwonekano wa chumba bali huleta balance na harmony kati ya ukuta, samani, na mapambo mengine.

* Grey hutoa muonekano wa kisasa (modern) na wa kifahari bila kuchosha macho.

* Ni chaguo linalodumu kwa muda kwa sababu hata ukibadilisha rangi ya ukuta au samani baadaye, mara nyingi pazia la grey bado litaendelea kuendana na mpangilio mpya.

* Pia husaidia kufanya nafasi ionekane nadhifu, tulivu, na yenye mvuto, iwe ni nyumbani au ofisini.

Kwa kifupi, grey ni “safe choice” kwa sababu ya neutrality yake—inaongeza uzuri wa nafasi bila kugongana na rangi nyingine, na ndiyo maana ni moja ya rangi zinazochaguliwa zaidi kwenye interior design.

Wasiliana nasi,tutakufikia,tutafanya vipimo na kukushauri kuendana na mahitaji yako, huku tukizingatia muda wako na ubora wa bidhaa yetu.

Mawasiliano: whatsapp 0659894808

Tunapatikana kariakoo, Dar es Salaam- mtaa wa Aggrey & Sikukuu.

Karibuni sana…

28/07/2026

🚨 NEW STOCK ALERT! 🚨

Kitambaa kipya cha pazia kimewasili! ✨

Blackout fabric yenye ubora wa hali ya juu. 🔥

Bei kwa metre moja ya pazia ni 20,000 (pamoja na mashono)

Bei ya set moja yenye upana wa 2 metres ni 90,000

Bei ya set moja yenye upana wa 1.5 metres ni 85,000

Set ni jumla ya pazia tatu kwa dirisha moja, pazia mbili nzito na nyepesi (lace) moja.

Tunaandaa (tunashona) pazia kwa kipimo chochote cha upana na urefu wa dirisha husika.

Tunapatikana Kariakoo - Dar es Salaam, mtaa wa Aggrey & Sikukuu.

Mawasiliano yetu: WhatsApp 0659894808

Wasiliana nasi—tunafika site kwa vipimo na ushauri. 💯

26/07/2026

✨ Muonekano wa ofisi unaanza na uchaguzi sahihi wa blinds.

Tunajivunia kukamilisha ufungaji wa Zebra Blinds katika ofisi za mteja wetu AutoExim. Asanteni kwa kutuamini na kutukabidhi kazi hii muhimu. 🙏

Zebra Blinds zinatoa:
✔️ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
✔️ Udhibiti mzuri wa mwanga na faragha
✔️ Ubora wa kudumu kwa matumizi ya kila siku
✔️ Muonekano unaoongeza hadhi na mvuto wa ofisi

Sisi Aimee Stores tunafika site kwa ajili ya vipimo na ushauri, kuhakikisha unapata suluhisho linaloendana na mahitaji na bajeti yako.

📍Tupo tayari kukuhudumia popote ulipo.

📞 Wasiliana nasi leo na ubadilishe muonekano wa ofisi au nyumba yako kwa Zebra Blinds zenye ubora wa hali ya juu.

Mawasiliano: whatsapp 0659894808

Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam- mtaa wa Aggrey & Sikukuu.

Karibuni…

26/07/2026

✨ Muonekano wa ofisi unaanza na uchaguzi sahihi wa blinds.

Tunajivunia kukamilisha ufungaji wa Zebra Blinds katika ofisi za mteja wetu AutoExim. Asanteni kwa kutuamini na kutukabidhi kazi hii muhimu. 🙏

Zebra Blinds zinatoa:
✔️ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
✔️ Udhibiti mzuri wa mwanga na faragha
✔️ Ubora wa kudumu kwa matumizi ya kila siku
✔️ Muonekano unaoongeza hadhi na mvuto wa ofisi

Sisi Aimee Stores tunafika site kwa ajili ya vipimo na ushauri, kuhakikisha unapata suluhisho linaloendana na mahitaji na bajeti yako.

📍Tupo tayari kukuhudumia popote ulipo.

📞 Wasiliana nasi leo na ubadilishe muonekano wa ofisi au nyumba yako kwa Zebra Blinds zenye ubora wa hali ya juu.

Mawasiliano: whatsapp 0659894808

Tunapatikana Dar es Salaam- Kariakoo, mtaa wa Aggrey & Sikukuu.
#

22/07/2026

🚨 NEW STOCK ALERT! 🚨

Kitambaa kipya cha pazia kimewasili! ✨

Blackout fabric yenye ubora wa hali ya juu. 🔥

Bei kwa metre moja ya pazia ni 22 ,000 (pamoja na mashono)

Bei ya set moja yenye upana wa 2 metres ni 95,000

Bei ya set moja yenye upana wa 1.5 metres ni 85,000

Set ni jumla ya pazia tatu kwa dirisha moja, pazia mbili nzito na nyepesi (lace) moja.

Tunaandaa (tunashona) pazia kwa kipimo chochote cha upana na urefu wa dirisha husika.

Tunapatikana Kariakoo - Dar es Salaam, mtaa wa Aggrey & Sikukuu.

Mawasiliano yetu: WhatsApp 0659894808

Wasiliana nasi—tunafika site kwa vipimo na ushauri. 💯

Karibuni…..

18/07/2026

✨ Another successful installation! ✨

Tumefanikiwa kukamilisha ufungaji wa Zebra Blinds katika ofisi za mteja wetu Optimal Tax – Dar es Salaam.

Tunajivunia kuwa sehemu ya kuboresha mazingira ya kazi kwa kutumia bidhaa zenye ubora, muonekano wa kisasa na uimara wa kudumu.

Asanteni kwa kuendelea kutuamini. Kila mradi unaotukabidhi ni fursa ya kuonesha ubora wa huduma zetu.

📍 Hatukusubiri uje kwetu—tunafika site kwa ajili ya vipimo na ushauri wa kitaalamu ili kuhakikisha unapata bidhaa inayolingana na mahitaji, mtindo na bajeti yako.

Tuanapatikana kariakoo,mtaa wa Aggrey & Sikuku

Mawssiliano yetu: whatsapp 0659894808

Karibu tukuboreshee nyumba, ofisi au biashara yako kwa bidhaa bora na huduma ya uhakika.

# ModernInteriors DarEsSalaam WindowBlinds InteriorDesign QualityFirst TrustedByMany

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 06:00 - 17:00
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 05:00 - 17:00
Thursday 06:00 - 17:00
Friday 06:00 - 17:00
Saturday 06:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 14:00

Telephone

+255659894808

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aimée online stores posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aimée online stores:

Shortcuts

Share