Ibn Hazm Media Center

Ibn Hazm Media Center Duka la vitabu maarufu nchini. Vitabu vya Kiingereza, Kiswahili na kiarabu, vitabu vya inspiration, self help na management.

Qur ani Tukufu 13,000 Tshs
28/09/2022

Qur ani Tukufu
13,000 Tshs

Matukio Katika Maisha Yangu4000 Tags
02/11/2021

Matukio Katika Maisha Yangu
4000 Tags

Kwa ukweli kuwa katika maeneo matukufu hasa karibu na nyumba tukufu Al_Kaaba ni habari nyingine ambayo haielezeki kwa ma...
26/12/2019

Kwa ukweli kuwa katika maeneo matukufu hasa karibu na nyumba tukufu Al_Kaaba ni habari nyingine ambayo haielezeki kwa maneno.

Ni hisia za ndani ya moyo za furaha zizoelezeka kwa maneno na kalamu. Allah Atuwafikishe kila mmoja wete aweze kupata furaha na raha hii ya kuwepo maeneo haya matakatifu, kuswali Swala za faradhi na sunna, kuiangalia Al Kaaba, Makamu Ibrahim, Kunywa maji ya zamzam, kuvaa Ihram, kutufu, kufanya sai, na kunyoa Nywele. Kutembelea maeneo matakatifu, Masjid Raya, Masjid Jinn, Masjid Shajara, Alipozikwa mama yetu Bi Khadija _ mke wa Mtume. Kuzuri nyumba aliyozaliwa Bwana Mtume. Kuona sehemu ilipokuwepo nyumba ya Bi Khadija. Sehemu ilipokuwepo nyumba ya Sayyidna Abubakar na Sayyidna Umar Allah Awawie radhi.

Raha na furaha isiyo kifani unapofika Madina na kuswali ndani ya Msikiti wa Bwana Mtume. Kuzuru kaburi lake na makaburi ya marafiki zake na masahaba wake vipenzi Sayyidna Abubakar na Sayyidna Umar Allah Awawie Radhi. kuzuru Baqii _ sehemu waliyolala masahaba zaidi ya elfu tatu Na kuzuru Masjid Ali Allah Amuwie radhi, Masjid Ghamama, Masjid Abubakar, Saqifa Banu Saida, Masjid Abudhar, Masjid Quba, Masjid Qiblatein, Mlima Uhud n.k

Alhamdulillah kuzuru maeneo haya ya kihistoria kunatupa furaha isiyo na maelezo.

Kwa ukweli nashindwa kueleza furaha na hisia njema nilizozipata katika kuzuru maeneo haya yenye historia kubwa ya Uislamu.

Allah Atuwafikishe kwa neema hii ya Uislamu tuwe waja wake wema hapa duniani.

Waja ambao watawasaidia wanaadamu wenzao katika kuwajenga kiroho, kiakili, kihisia, kijamii na kiuchumi.

Waja ambao wanajisalimisha kwa Muumba wao.

Waja ambao wanaheshimu utu na ubinaadamu wa wenzao kwa kuenzi na kulinda uhai wao, mali zao na heshima zao.

Waja ambao wanakuwa ni chemchemu ya mambo ya kheri kwa ajili ya maendeleo yao binafsi, familia zao, taasisi zao, na nchi yao. Amin

Today. At a blessed land, Madina Munawwara, I have met a friend, Tamat Sarmidi, who I have studied with him at Internati...
25/12/2019

Today. At a blessed land, Madina Munawwara, I have met a friend, Tamat Sarmidi, who I have studied with him at International Islamic university. We have lost each other, no communication for the last 25 years.

Alhamdulillah, this is a really baraka from the blessed land, where our Prophet peace be upon him, has migrated and resided up to his last days.

Katibu Mkuu wa Hay-at Ulamaa akifungua kampeni maalumu ya wiki mbili ya kuhamasisha usomeshaji na uhifadhishaji Qur'an T...
15/12/2019

Katibu Mkuu wa Hay-at Ulamaa akifungua kampeni maalumu ya wiki mbili ya kuhamasisha usomeshaji na uhifadhishaji Qur'an Tukufu kisiwani Pemba.
Kampeni hiyo inajumuisha programu zifuatazo:
Semina ya walimu wa Qur'an Tukufu
Kambi ya malezi Kwa vijana waliohifadhi
Ziara za madaarisi
Mihadhara
Vikao na Maimamu

Leo Alasiri hii katika kambi ya malezi kwa vijana waliohifadhi Qur'an iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya  jumuiya ya Tahfi...
15/12/2019

Leo Alasiri hii katika kambi ya malezi kwa vijana waliohifadhi Qur'an iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya jumuiya ya Tahfiidh al Qur'an Pemba na Haiatu l'alamiya lil kitabi wa sunna , iliyofanyika Mkoroshini, chakechake, pemba, kimezinduliwa kitabu hiki. Kwa jina Muongozo wa Tabia njema kwa Aliyehifadhi Qur'an Tukufu.

15/12/2019
Ibn Hazm iliposhiriki Vitabu Galla
15/12/2019

Ibn Hazm iliposhiriki Vitabu Galla

Yassir Salim with the top management of Tazkia Islamic University at Bogor, West Java, Indonesia.
25/11/2019

Yassir Salim with the top management of Tazkia Islamic University at Bogor, West Java, Indonesia.

It is really great experience and pleasure to visit and learn from wonderful people on their great initiatives to bring ...
25/11/2019

It is really great experience and pleasure to visit and learn from wonderful people on their great initiatives to bring positive change to our wonderful umma.

Truly, My visit to Tazkia Islamic University at Bogor, West Java to me is a memorable life experience I did really learn practically the spirit of serving the umma for the sake of gaining Allah's pleasure..

Address

Mtambani Mosque, Mtoro Mosque And Manyema Mosque
Dar Es Salaam

Telephone

+255767210924

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibn Hazm Media Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ibn Hazm Media Center:

Share

Category