02/06/2026
โจ SALTAIR BODY BUTTER โจ
Moisturizer ya kiwango cha juu yenye Ceramides na mafuta ya lishe kwa ngozi. Hufanya kazi kwa kufungia unyevu ndani ya ngozi (lock in moisture), kurekebisha skin barrier na kuacha ngozi laini, yenye afya na glow ya asili bila kuhisi mafuta mengi. ๐
๐ฐ 130,000/=
โ
Inaongeza unyevu wa muda mrefu
Glycerin, Coconut Oil na mafuta mengine husaidia kuvuta na kufungia unyevu ndani ya ngozi ili isiwe kavu.
โ
Inaimarisha Skin Barrier
Ceramides, Phospholipids na Fatty Acids husaidia kurekebisha na kuimarisha tabaka la juu la ngozi ili kupunguza upotevu wa unyevu.
โ
Inalainisha ngozi
Hupunguza ukavu, roughness na muonekano wa ngozi iliyochoka, na kuifanya iwe laini na yenye mwonekano wa afya.
โ
Inafaa kwa ngozi kavu na nyeti
Formula yake imeundwa kusaidia kutuliza ngozi huku ikidumisha unyevu wa muda mrefu.
โจ Kwa wanaopenda ngozi yenye afya, laini na glow ya asili, Saltair Body Butter ni chaguo sahihi.
๐ฆ Zinapatikana Jumla na Reja Reja
๐ Tunapatikana Tabata Shule (Bolt Hawa Cosmetics)