Discount Kubwa

Discount Kubwa Kuhusu sisi,
Sisi ni moja ya duka la komputa linaloongoza Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla.
(490)

Tunauza komputa na vifaa vyake vikiwa katika hali na muonekano mzuri zaidi. Bidhaa zetu ni Mpya, Mitumba na vilivyo boreshwa {refurbished}
Kila bidhaa moja baada ya nyingine tunauza ikiwa imethibitishwa kuwa ni bora na tunahakikisha tumeshaifanyia majaribio. Tunawafanyia wateja wetu huduma mbalimbali k**a vile, kuboresha {kuapgrade}, kurekebisha, {kuripea}, kuwasaidia namna ya kusafirisha ndani y

a nchi yaani mikoani. Dhamana tunayotoa {warranty} tunapanga kuanzia miezi sita mpaka miezi kumi na mbili

Tumefanikiwa kwa miaka mingi iliyopita {miaka mingi ya nyuma mpaka sasa} kwa kutoa huduma bora zenye uhakika kwa wateja wetu ambapo kuna ushindani mkubwa wa bei

Timu yetu ya Discountkubwanni vijana walio imarika na kila mmoja amefuzu vizuri
mafunzo/majaribio na yupo vizuri kwa ajili ya kuhudumia mteja. Discountkubwa imependekeza kuanzisha maoni au ushauri ninafsi kwa wateja wetu ili kuweza kujua kwa uwazi hitaji la kila wa wateja wetu. Wengi wa wateja wetu ni wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini

Tunafurahi kwamba tumejenga uaminifu kwa kuweza kumudu wateja wetu kwa ufanisi mkubwa na tumeweza kusaidia kusafirisha komputa na laptop vijijini na mijini
K**a unahitaji kujua zaidi huduma zetu za dukani tafadhalimtutembelee
Tunapatikana eneo la biashara kubwa kubwa ndani ya Dar es salaam - kariakoo Mtaa wa Msimbazi usawa wa kituo kikubwa cha daladala zinazoenda Ubungo

Address

Msimbazi Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 09:00 - 17:30
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Discount Kubwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share