Tuagize Kariakoo

Tuagize Kariakoo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tuagize Kariakoo, Shopping & retail, kariakoo, Dar es Salaam.

Tunarahisisha maisha yako kwa kukuletea mizigo mpaka nyumbani kwako. Tupigie! LAEO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
09/08/2025

Tunarahisisha maisha yako kwa kukuletea mizigo mpaka nyumbani kwako. Tupigie! LAEO
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Wikiendi njema kwa familia yako kutoka Tuagize Kariakoo! Furahia muda huu mzuri na wapendwa wako. Tunakuletea kila kitu ...
19/07/2025

Wikiendi njema kwa familia yako kutoka Tuagize Kariakoo! Furahia muda huu mzuri na wapendwa wako. Tunakuletea kila kitu hadi mlangoni!

Umekaa? Tunakuletea! Timu yetu ya Tuagize Kariakoo ipo njiani kukuletea oda yako.
18/07/2025

Umekaa? Tunakuletea! Timu yetu ya Tuagize Kariakoo ipo njiani kukuletea oda yako.

Unachohitaji ni kuagiza, kilichobaki tuachie sisi! TUAGIZE KARIAKOO, huduma ya uhakika na Salama
08/07/2025

Unachohitaji ni kuagiza, kilichobaki tuachie sisi! TUAGIZE KARIAKOO, huduma ya uhakika na Salama

Hakuna haja ya kutoka! Tupe anwani yako, TUAGIZE KARIAKOO tunakuletea mzigo wako mpaka mlangoni. Rahisi na haraka!
07/07/2025

Hakuna haja ya kutoka! Tupe anwani yako, TUAGIZE KARIAKOO tunakuletea mzigo wako mpaka mlangoni. Rahisi na haraka!

Kutoka Dukani hadi Kwako, Haraka na Salama!    na
04/07/2025

Kutoka Dukani hadi Kwako, Haraka na Salama!

na

Karibu Tuagize Kariakoo.Tunakuletea bidhaa za Kariakoo kwa urahisi na haraka, mlangoni kwako. Ungana nasi kwa ununuzi wa...
23/08/2024

Karibu Tuagize Kariakoo.

Tunakuletea bidhaa za Kariakoo kwa urahisi na haraka, mlangoni kwako. Ungana nasi kwa ununuzi wa uhakika. ๐Ÿ›’

Wasiliana nasi: +255 745 517 500

Dhamira Yetu: Tuagize KariakooKutoa huduma rahisi na ya kuaminika ya ununuzi wa bidhaa kutoka soko la Kariakoo, tukihaki...
23/08/2024

Dhamira Yetu: Tuagize Kariakoo

Kutoa huduma rahisi na ya kuaminika ya ununuzi wa bidhaa kutoka soko la Kariakoo, tukihakikisha wateja wanapata bidhaa wanazozitaka haraka na kwa urahisi. ๐ŸŽฏ

Dira Yetu: Tuagize KariakooKuwa jukwaa bora la ununuzi mtandaoni la Kariakoo, linalojulikana kwa huduma bora na kuridhis...
23/08/2024

Dira Yetu: Tuagize Kariakoo

Kuwa jukwaa bora la ununuzi mtandaoni la Kariakoo, linalojulikana kwa huduma bora na kuridhisha wateja kote Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania. ๐ŸŒ

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuagize Kariakoo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share