11/11/2024
Karibuni Sana kwenye ibada yetu ya kwanza Pale Bunju B. Itakuwa ni ibada ya shukrani na yenye nguvu na Mungu atawahudumia kwa viwango vingine kabisa. Hatua ya kwanza ni kufika Bunju na hatua ya pili ni kupokea ile fungu yako ambayo Mungu amekuandalia. Usiwaze Chakula cha mchana, utatoka ukiwa umeshiba kiroho na ki mwili. Ni tarehe 17, Nov 2024. Jumapili hii. 0762858685