08/07/2024
Habari zenu marafiki ni habari njema kuwajulisha kuwa huo mziki pamoja na spika zake yaani mixer and it's two speakers zinauzwa tena ni kwa bei ya TSH 1200000/= unaweza kutumia katika shughuli zako zote sehemu za ibada,matamasha,kukodisha,mabaa, birthday party, kigodoro, ukumbi wa video, umetengenezwa japani unajitwalia kitu cha kijapani bila kuvuka maji kwa bei nafuu sana pugu kinyamwezi dar