John Paul

John Paul Shearing testimony of what Jesus is doing around the word

22/01/2025

“Basi tabiri, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitafunua makaburi yenu, na kuwapandisha kutoka katika makaburi yenu, enyi watu wangu, nami nitawaingizeni katika nchi ya Israeli. Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu, na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu. Nami nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawawekeni katika nchi yenu, nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, nimesema hayo, na kuyatimiza, asema BWANA.” Eze‬ ‭37‬:‭12‬-‭14‬ ‭

BWANA ATUTENDEE HAYA:-
1. Afunue makaburi yetu.
2. Atupandishe kutoka katika makaburi yetu,
3. Tuwe watu wake.
4. Atie roho yake ndani yetu.
5. Atufanye tuishi,
6. Atuweke katika nchi yetu, Destiny yetu.
Nasi tutajua ya kuwa , BWANA, amesema na kuyatenda hayo.
Katika Jina la Yesu.

18/03/2024

CHANGAMOTO UNAZOKUMBANA NAZO NI KWA SABABU UMEAMUA KWENDA NG'AMBO.. (UPANDE WA MWINGINE) [KIWANGO KINGINE]

Usiogope.. Songa Mbele...

Siku moja, Yesu , akawaambia, “Tuvuke ziwa twende mpaka ng'ambo.” Basi, wakaanza safari. Dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika hatari. Luka 8:22-23

Shiriki Nasi. KUSANYIKO KUU.
19/11/2023

Shiriki Nasi.
KUSANYIKO KUU.

31/07/2023

Mjue sana Mungu...
Kiwango unachomjua ndicho atakachojufunua.

God You Know is the God will reveal Himself.

30/04/2023

Watu SITA MUHIMU

28/04/2023

Karibu ujifunze kuhudumu na kuhudumiwa

Apumzike kwa Amani.
31/12/2022

Apumzike kwa Amani.

Pope Emeritus Benedict XVI, a leading theologian of the 20th century and the first pope to resign from office in nearly 600 years, has died at the age of 95, the Vatican announced.

13/12/2022

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

KINATOKA KARIBUNI.PATANAKALA YAKO
07/12/2022

KINATOKA KARIBUNI.
PATA
NAKALA YAKO

Karibu Kimara.Tuombe...Tushiriki...
13/09/2022

Karibu Kimara.
Tuombe...
Tushiriki...

Address

P O Box 75941
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when John Paul posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share