Liftlife Choice Tanzania

Liftlife Choice Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Liftlife Choice Tanzania, Manzese barharesa, Dar es Salaam.

πŸ›’ E-commerce store & Supply
from Dubai, Thailand & China to TanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ“± Retro Phones | Safes | Home Items
🀝 JUMLA & REJAREJA
πŸ“ž +255 744 162505
πŸ“ Manzese & Kinondoni, Dar
🚚 Tunasafirisha mikoa yote

πŸ–οΈ JUA KALI? USIKOSE KIVULI! β˜€οΈβ›±οΈFurahia muda wako beach, bustanini au kwenye shughuli mbalimbali ukiwa na Beach Umbrell...
09/09/2026

πŸ–οΈ JUA KALI? USIKOSE KIVULI! β˜€οΈβ›±οΈ

Furahia muda wako beach, bustanini au kwenye shughuli mbalimbali ukiwa na Beach Umbrella imara na la kuvutia. 😍

✨ Linalinda dhidi ya jua
✨ Rahisi kutumia na kubeba
✨ Linafaa kwa beach, picnic, bustani na biashara mbalimbali

πŸ’° Bei: Tsh 255,000/=

πŸ“© Tuma DM sasa kuagiza kabla hayajaisha!

OutdoorLifestyle Beach

08/09/2026

πŸ”₯ LC 120(MODEL) HEAVY DUTY SAFE BOX πŸ”₯

Safe kubwa, nzito na ya kiwango cha juu kwa ulinzi wa mali zako muhimu. Ikiwa na uzito wa 600KG, uwezo wa FIREPROOF, pamoja na safe/drawer ya ndani kwa usalama wa ziada.

πŸ“ Height: 100cm | Width: 60cm | Depth: 60cm
πŸ’° Price: TSh 5,350,000/=

Usalama wa kweli kwa mali zenye thamani kubwa! πŸ”πŸ’ͺ

Table ya Kisasa Inayobebeka Popote!Set ya meza ya kukunjwa na viti vyake – perfect kwa outing, bustani au hata nyumbani....
06/09/2026

Table ya Kisasa Inayobebeka Popote!

Set ya meza ya kukunjwa na viti vyake – perfect kwa outing, bustani au hata nyumbani.

πŸ’° Bei: Tsh 175,000/= each

Sifa kuu:
β–ͺ️ Inakunjika kirahisi – rahisi kubeba na kuhifadhi
β–ͺ️ Material imara (aluminium) – hudumu muda mrefu
β–ͺ️ Inakuja na stool 4 – tayari kwa matumizi ya familia au marafiki

Matumizi:
βœ”οΈ Picnic & camping
βœ”οΈ Garden & beach
βœ”οΈ Matumizi ya ndani (indoor)

❓ Je, uko tayari kufanya outing zako ziwe rahisi na zenye style zaidi?

πŸ‘‰ BONYEZA HAPA KUAGIZA SASA
πŸ“² WhatsApp: +255 744 162 505

Buy one and Get another for free😍Nokia N95 is part od vintage Let history lead you!πŸ”₯
06/09/2026

Buy one and Get another for free😍
Nokia N95 is part od vintage

Let history lead you!πŸ”₯

Hii tabia ya kutuma mzigo kwa njia ya mabasi kisha wafanyakazi wa ofisi husika wanafungua wakikuta bidhaa nzuri wanachuk...
05/09/2026

Hii tabia ya kutuma mzigo kwa njia ya mabasi kisha wafanyakazi wa ofisi husika wanafungua wakikuta bidhaa nzuri wanachukua mzigo sasa imekuwa Keroooooooooo!!! Sana , Please! Wafanyabiashara naomba ushauri nifanyeje 😳😳😭😭😭😭 Too sad!!πŸ‘†πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

05/09/2026
04/09/2026

πŸ—ƒοΈ HOTEL SAFE BOX πŸ”

Unajua kwamba Hotel Safe Box ni miongoni mwa vifaa muhimu vinavyoweza kupatikana ndani ya chumba cha hoteli?

Hutumika kuhifadhi vitu muhimu vya wageni wakati wa muda wao wa kukaa hotelini.

πŸ“ Vipimo:
Height: 20cm
Depth: 37cm
Width: 42cm

Je, kwenye hotel yako kuna Safe Box? πŸ‘€

Address

Manzese Barharesa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255744162505

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Liftlife Choice Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Liftlife Choice Tanzania:

Shortcuts

Share