Bucha Mtandao

Bucha Mtandao Karibu Sihai Bucha Mtandao – Sisi ni Wavuvi, Wachakataji, na Wauzaji wa Samaki waliogandishwa kwa vifaa vyetu bora na vya kuaminika.

Tunavua na kuuza Samaki wa aina zote k**a vile Sato, Sangara, Migebuka, Kamba Asili, na Ngisi. Karibu Bucha Mtandao – Sisi ni Wavuvi, Wachakataji, na Wauzaji wa Samaki waliogandishwa kwa vifaa vyetu bora na vya kuaminika. Tunavua na kuuza Samaki wa aina zote k**a vile Sato, Sangara, Migebuka, Kamba Asili (Wild Prawns), na Ngisi (Squid). Samaki wetu ni safi, wanapatikana kwa ubora wa hali ya juu, n

a hufanyiwa uchakataji wa kisasa ili kuhifadhi virutubisho vyote. Tunahakikisha kila mteja anapata Samaki bora wanaokuza afya yake na ustawi wa familia yake.

Address

Magogoni, Kigamboni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bucha Mtandao posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category