Mgodi art vision

Mgodi art vision k & s art vision ni kampuni inayojihusisha na sanaa ya maigizo ktk television na uandaaji wa filamu

New season 2021 is 👌👆👏🙏 Stay tuned
21/01/2021

New season 2021 is 👌👆👏🙏 Stay tuned

All the best my dear president...worry out my dady next season we gave you
19/09/2020

All the best my dear president...worry out my dady next season we gave you

Kuna project inakuja soon na anakiwa queen toka kiwanda cha bongo movie na hawa ndo wamechaguliwa ktk mchakato huo lakin...
27/08/2020

Kuna project inakuja soon na anakiwa queen toka kiwanda cha bongo movie na hawa ndo wamechaguliwa ktk mchakato huo lakini anatakiwa mmoja Kati yao kula yako muhimu ni yupi unampendekeza na unamkubali

21/08/2020

Art work

18/08/2020

Tucheke kidogo😂😂😂

Habari zenu wadau wa page hii...niwaombe radhi kwa kutokutupia picha Wala habari yoyote kwa muda mrefu ila kwa Sasa tume...
12/01/2019

Habari zenu wadau wa page hii...niwaombe radhi kwa kutokutupia picha Wala habari yoyote kwa muda mrefu ila kwa Sasa tumerudi na kasi ya ajabu soon utaanza kupata habari na update zote zinohusu Sanaa,michezo,burudani,wachezaji historia zao na waigizaji historia zao kote duniani twenden pamoja

14/10/2018

Habari zenu wadau

06/09/2018

Mambo zenu fans wa page hii Ni kwamba hatuna muda mrefu tunarudi kwa Kasi ya ajabu ktk ulimwengu wa kiburudani now tunakuja na habari za kiburudani habari za wasanii sanjari kabisa na historia zao hapa tutakutana na wasanii waigizaji,wanamziki,wachezaji mpira wa miguu,kikapu nk cha kufanya endelea kutufuatilia na waweza kutanguliza maswali yako juu ya kipi unataka kujua au historia ya msanii gani ungependa tuilete na bila hiyana sisi tutaileta cha msingi Baki na sisi

08/07/2018

Mambo vipi marafiki

Msimu wa pili wa film tanzania now tunakuja na tv drama na ni season so kaa tayari
07/03/2018

Msimu wa pili wa film tanzania now tunakuja na tv drama na ni season so kaa tayari

15/11/2017

aliyekuwa mume wa mwigizaji wa bongo,muvi irene uwoya mchezaji wa kimataifa ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya Rayon sport timu ambayo inasadikika kuwa na mashabiki wengi nchini rwanda bw ndikumana katauti amefariki dunia,lakini mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakajajulikana

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255699489045

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mgodi art vision posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share