Mazao ya biashara

Mazao ya biashara We are the seller of pure herbal products for a good health and Beaty ( skin and hair services)
Dire

Pilau nyama,,,utam utam
09/07/2023

Pilau nyama,,,utam utam

Weekend hii tunaingiza dagaa Mwanza wakavu kwa bei ya tsh 28000 bukoba dumu la lita 20Na 26 Mwanza dumu la lita 20Call 0...
26/05/2022

Weekend hii tunaingiza dagaa Mwanza wakavu kwa bei ya tsh 28000 bukoba dumu la lita 20
Na 26 Mwanza dumu la lita 20
Call 0685818339

Bado napokea oda ya n**i kavu nzuri kutoka mafia kwa bei ya kuanzia sh 400 mpka 700 kwa n**i moja jumla kuanzia n**i 100...
20/05/2022

Bado napokea oda ya n**i kavu nzuri kutoka mafia kwa bei ya kuanzia sh 400 mpka 700 kwa n**i moja jumla kuanzia n**i 100 weka oda mapema kwa no 0685818339

N**i safi toka kisiwani mafia zinapatikana sasa 0685818339Mikoani tunatuma
19/05/2022

N**i safi toka kisiwani mafia zinapatikana sasa
0685818339
Mikoani tunatuma

Unapata ute wa rangi gan kipenzi changu.Fuatilia mchezo huu chini kisha toa jibu nikupe tiba ya tatizo lakoKumbuka sasa ...
25/03/2022

Unapata ute wa rangi gan kipenzi changu.Fuatilia mchezo huu chini kisha toa jibu nikupe tiba ya tatizo lako

Kumbuka sasa atanipatia dawa ya uzazi na matatizo yake kwa tsh 30000 tu nitumie ujumbe wako kwa wasap 0688473567

25/03/2022

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI KWA TSH 30000 TU NJOO NA UJUMBE WATSAP AU KAWAIDA LAKIN WATSAP UTASAIDIWA KWA HARAKA 0688473567

⚫Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE

⚫Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵

1⃣Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).

2⃣ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

3⃣ Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.

4⃣Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.

5⃣Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.

6⃣Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

7⃣ Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.

8️⃣ Kuchukia kushiriki tendo la ndoa

9️⃣ Kupata uvimbe kwenye kizazi

?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

1⃣1⃣ Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.

1⃣2⃣Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.

1️⃣3️⃣ Kujisaidia choo kigumu

MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE

➡️Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba

➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.

➡️Kuingia na kutoka kwa mimba

➡️Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni.

➡️Kuwa na uke mdogo sana.

➡️Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

➡️Kupata uvimbe kwenye kizazi.

➡️Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.

➡️ KUPATA Bawasiri kutokana na kupatwa na choo kigumu

TIBA YA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE

Ni vyema sana kumweleza Dr. Dalili zote ambazo mwanamke hujihisi kisha daktari mzoefu atajua tatizo lako.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.

*Mwanamke huyu atakuwa wanapata maumivu makali Sana wakati wa hedhi*

Dawa zitakusaidia yafwatayo:

⚫ Huondosha sababu zinazopelekea mimba kutoka/kuporomoka

⚫ Huzibua mirija ya uzazi(follopian tubes)

⚫ Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.

⚫ Hupevusha mayai ambayo hushindwa kupevuka.

Huna tena sababu ya kuteseka wala kuhangaika tena huku na kule kutokana na Matatizo ya uzazi,

25/03/2022

Ni dawa ya Magonjwa yafuatayo ndani ya SIKU nne mpaka tano unaona mabadiliko na hazna masharti yoyote yale.
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
WANAWAKE
👉Wahanga wa watoto
👉Uvimbe sugu kwa kizaz
👉Mirija kuziba
👉Bleed iliyopitiliza
👉Bleed iliyopotea
👉Mimba kutoka
👉 Chango kali ya uzaz
👉PID(Maambukizi katika via vya uzaz)
👉U.T.I sugu
👉 Kizaz kujaa maji
👉Kizaz kilichombali
👉Kizaz kuinama
👉Kizaz kulegea

Changamoto hizi zinawakumba Wengi sana pengine hata wewe unaesoma ujumbe Huu ni muhanga.Kwa mujibu wa utafiti ambao umes...
15/03/2022

Changamoto hizi zinawakumba Wengi sana pengine hata wewe unaesoma ujumbe Huu ni muhanga.

Kwa mujibu wa utafiti ambao umeshawahi kufanyika asilimia 20 ya matatizo ya ugumba husababishwa na matatizo haya.

Hivyo k**a usipowahi kupata suluhisho la kudumu yaweza kuwa chanzo kikubwa Cha kutopata mtoto.
Habari njema ni kuwa unaweza kutibu na kujikinga kirahisi kabisa.

Wiki hii tumeandaa jukwaa linalomfundisha jinsi ya kutatua matatizo haya kirahisi kabisa na mwisho itabaki kuwa Historia.

Elimu hii itatolewa Kwa watu wachache TU.

Hivyo usikubali kuchelewa wahi Mapema ili upate suluhisho

Kujiunga na Elimu hii ni tsh 5000

0688473567 utapata suluhisho la kudumu kwa kulipia tsh 5000 tu(elfu 5 tu) na dawa zetu ni nafuu
15/03/2022

0688473567 utapata suluhisho la kudumu kwa kulipia tsh 5000 tu(elfu 5 tu) na dawa zetu ni nafuu

03/03/2022

Unakuwa mkavu uken hata uandaliwe namna gan.
Unapata maumivu na pengine hata unachubuka na kufanya vidonda.
Kila ukimaliza tendo unatoka damu.
Unavimba sehemu zako za sir na kunakuwa pekundu.
Nitumie ujumbe upate tiba #0688473567
Gharama ni tsh 45000

Mama K hii tunajaribu au niwaache na matumbo yenu🤣🤣🤣
25/02/2022

Mama K hii tunajaribu au niwaache na matumbo yenu🤣🤣🤣

Hii ni kwa wanawake 10 wa mwanzo tu wenye matatizo ya PID (chronic),fangasi sugu na UTI sugu.Unatoa uchafu uken,Ukiwa au...
25/02/2022

Hii ni kwa wanawake 10 wa mwanzo tu wenye matatizo ya PID (chronic),fangasi sugu na UTI sugu.
Unatoa uchafu uken,Ukiwa au hauna harufu wala miwasho ila inakupa Kero(discomfort)
Unakuwa mkavu uken
Unapata maumivu wakat wa tendo la ndoa
Tendo la ndoa kwako huambatana na damu nk
Umejaribu kujitibu kwa dawa aina mbalimbali zikiwemo za hospital au sindano lakin tatizo linajirudia baada ya wiki mwezi au muda mfupi.
Unashida ya homon imbalance,karibu nikusaidie kwa gharama za tsh 5000 tu
Nitumie ujumbe WhatsApp kwa msaada zaidi.
Pia k**a unashida nyingine unaweza kunicheki kwa no 0688473567

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 16:00

Telephone

+255756407476

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mazao ya biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mazao ya biashara:

Shortcuts

Share