Football Sport Tanzania

Football Sport Tanzania Like Page ya matukio Tanzania kupata habari mbalimbali kuhusu tanzania

15/02/2022

Back

Zoezi la uchangiaji damu linaendelea maeneo ya karume Ilala Boma,  Wanasimba wamejitokeza kujitolea Damu ikiwa ni mchang...
05/08/2018

Zoezi la uchangiaji damu linaendelea maeneo ya karume Ilala Boma, Wanasimba wamejitokeza kujitolea Damu ikiwa ni mchango wao kuelekea Simba Day tarehe 8 Mwezi huu wa 8.


Baada ya Mda mrefu hatimaye klabu ya soka ya Yanga SC kupitia Redio  imethibitisha kuwa tayari klabu hiyo imepata kibari...
31/07/2018

Baada ya Mda mrefu hatimaye klabu ya soka ya Yanga SC kupitia Redio imethibitisha kuwa tayari klabu hiyo imepata kibari cha kocha wake Mwinyi zahera kufanya kazi katika klabu hiyo.

ratiba ya simba 2018/2019
27/07/2018

ratiba ya simba 2018/2019

tetesi za usajili ulaya Chelsea wamewabia Ac Milan watoe £62M K**a watahitaji huduma ya Morata
26/07/2018

tetesi za usajili ulaya Chelsea wamewabia Ac Milan watoe £62M K**a watahitaji huduma ya Morata

Wachezaji wa Simba waloongezeka leo kambini UturukiWa kwanza Hassan Dilunga, Erasto Nyoni, Said Hamis na Meddie Kagere
26/07/2018

Wachezaji wa Simba waloongezeka leo kambini Uturuki

Wa kwanza Hassan Dilunga, Erasto Nyoni, Said Hamis na Meddie Kagere

 : Ligi kuu nchini Japan imelazimika kufanya mabadiliko ya sheria zake ili kuruhusu kiungo Andreas Iniesta kuvaa jezi na...
26/07/2018

: Ligi kuu nchini Japan imelazimika kufanya mabadiliko ya sheria zake ili kuruhusu kiungo Andreas Iniesta kuvaa jezi namba 8 kwenye klabu yake ya Vissel Kobe.
Awali jezi hiyo ilikuwa ikivaliwa na Hirotaka Mita ambaye kwa sasa atavaa jezi nambari 7.

Kanuni za ligi hiyo zilikuwa haziruhusu mabadiliko ya Jezi katikati ya Msimu. -

klabu ya imefanikiwa kumsajili Hamim Abdul Karim,Beki wa Kushoto kutoka Azam FC  kwa mkopo wa Mwaka mmoja.Abdul Karim Am...
26/07/2018

klabu ya imefanikiwa kumsajili Hamim Abdul Karim,Beki wa Kushoto kutoka Azam FC kwa mkopo wa Mwaka mmoja.

Abdul Karim Amewahi pia kuchezea timu za Toto Africans, Geita gold SC,CDA Dodoma, Pamba FC na Azam FC.

UsajiliRasmiKlaus Nkinzi Kindoki (kushoto) na Heritier Makambo ni wachezaji wa yangasc baada ya kandarasi ya miaka miwil...
26/07/2018

Usajili

Rasmi
Klaus Nkinzi Kindoki (kushoto) na Heritier Makambo ni wachezaji wa yangasc baada ya kandarasi ya miaka miwili kila mmoja

Address

Dar Es Salaam
TANZANIA~DARESSALAAM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Football Sport Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share